The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
Kwa kweli Nadhani ni type ya malezi pia Ina changiaBinti yako ana ujasiri sana mm kuongea mambo hayo na mzee huo ujasiri naona kama sijajaaliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli Nadhani ni type ya malezi pia Ina changiaBinti yako ana ujasiri sana mm kuongea mambo hayo na mzee huo ujasiri naona kama sijajaaliwa.
Jiupeshe na negative comment jikite ktk comment ambazo ni positiveAcheni kukejeli suala hili ni gumu na linaleta maumivu makubwa
Kwa kweliHuwa inatisha sana
SahihiKwa kweli Nadhani ni type ya malezi pia Ina changia
Asante kwa ushauriJiupeshe na negative comment jikite ktk comment ambazo ni positive
Joline bado upo Njombe !?Sahihi
SIKU HUYO MTOTO AKIKUA NA KUJITAMBUA NDIO UTAJUA ULIFANYA KOSA KUBWA KUZAA HOVYOHOVYO.Kumbe tupo wengi.story yake inafanana na yangu kwa asilimia kubwa. mimi nilipofikisha umri huo nikaamua kuzaa bila ndoa. sasa hivi ni 36 na katoto kangu kana miaka miwili. nina mfurahia sana mtoto wangu sasa napambana kwa ajili yake. na nina amani mambo ya ndoa nilishayaweka kwenye dampo la taka sasa ni kupambana tu na maisha. unaweza subiri ndoa mwisho wa siku umri ukakuacha kabisa ndoa ukakosa na mtoto ukakosa vilevile.
kwahiyo si ulikubali mwenyewe kuzaa na kitunguu maji?sitaki kuolewa na kitunguu maji. kile hivi mtu hajui maisha nini si kwamba ni mtoto mdogo ni mtu mzima na hana familia wala mtoto ila majukumu hataki wa nini sasa.
Wala hatutaki ushauri wenu.Hahaha..................basi tunacha hiki cheti chetu cha MBA
Tumebaki kama Wazee wa Baraza, mkija tutawashauri tu 🤗
Akuuuuuu!Hahaha.................kuwa na imani na Wazee Mjukuu 🤗
Baki nae tu mkuu...muoaji anakujaje mkuu?Muoaji habi hivyo,pili mie sie nayemchagulia,anachagua mwenyewe
Hamtaki busara za Wazee ziwaongoze, hivi vichwa vimejaa busara za kutosha kwaajili yenu Wajukuu 🤗Wala hatutaki ushauri wenu.
Hebu niletee Kiko yangu Mjukuu 😜Akuuuuuu!
Mwanaume. Kabisa unalia kwa Mambo ya kipuuzi.Mwanaume uliaje bhana, unazingua
Hatutakiiiii.Hamtaki busara za Wazee ziwaongoze, hivi vichwa vimejaa busara za kutosha kwaajili yenu Wajukuu 🤗
Mwambie bibi🤣Hebu niletee Kiko yangu Mjukuu 😜