Baba V..nimepata copy..mimi hujawahi kunichukua..sijui kwa wenzangu!..duh..kumbe madaraka matamu ee
Sasa manoah anataka kufanya mapinduzi umejipangapangaje kuyazima haya mapinduzi?
nahisi mtu kupoteza kiungo hapa....
Madaraka sio matamu ila siko tayari kuona jambo nililolijenga kwa muda mrefu na kwa manufaa ya wana chit chat linaangukia kwenye mikono isiyo salama..
Tena kiungo muhimu...
Hallo!
Taarifa rasmi, Baba V ameachia ngazi na kuniachia madaraka ya uenyekiti.
Source :
- vivian
- Baba V
- Mama v
nafanya mabadiriko ya katiba katika kifungu (a) mwanamke anaruhusiwa kuolewa na wanaume mwisho wawili, na kifungu (c) mwanaume anaruhusiwa kua na mwanamke mmoja tu.
nipo na wa taalamu tunaendelea kufanya maboreshe ya katiba.
angalizo: mke dadi kifungu namba (a) hakimuhusu.
We mwana we si ungeomba hata urogwe na maji marefu kuliko mimi, Futa kauli yako haraka sana kabla sijafanya kitu hapa hadi wana chit chat wote waseme shikamoo....
Copy: ummu kulthum (usijiingize kwenye huu uhaini wa manoah)
kipindi tumekaa wote uliniona natumia kilevi chochote?