Baba V kanifkishia taarifa ya kujitoa katika nafasi ya uenyekiti...

Bishanga naona unachungulia humu
ona vituko vya mwanao,
bado tu kukuhamisha kwenye kale kashamba ka kahawa ulikorithishwa.
 
Last edited by a moderator:
We mwana we si ungeomba hata urogwe na maji marefu kuliko mimi, Futa kauli yako haraka sana kabla sijafanya kitu hapa hadi wana chit chat wote waseme shikamoo....
Copy: ummu kulthum (usijiingize kwenye huu uhaini wa manoah)
mmmmmh unakimbia tatizo hivi hivi kaniachie kamba ulizonifunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…