Baba V na Mama V tuna furaha saaana, It is a baby girl.

Hongera sana mwenyekiti!
Hebu ni PM namba yako nimzawadie hata nepi kichanga!
Mungu awatangulie katika malezi mema ya mtoto!
 
Mwenyekiti ni raha sana kupata mgeni, Mungu muumba ndi mjuzi wa kila kitu, kwa uwezo wake atawatunzia na kuwakuzia mgeni wetu....
 
Ni Viola au Vanessa?
Hongereni sana kwa kuongeza binti raia wa planet earth.
 
hongera mkuu naomba booking ya kumuoa kabisa.. mlinde sana kama unavojilinda hongera na pole zake Mama v na hongera kwa kumuwezesha kupata mtoto Baba V
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…