JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Hongera sana wenyekiti..... Hapo kazi kwako kuongezanuchapa kazi tu sasa... Jitahidi kumlea katika malezi bora ya kisasa
Ooh safi sana.
Ngoja na sisi ba Chocs tutafute wetu
Hongera sana Mwenyekiti...Sie tuko njiani.....

Wanajamvi ungana nasi katika furaha hii. Ni leo majira ya saa kumi na mbili ilimpendeza MUNGU Mama V kajifungua salama mtoto wa kike... Utukufu ni kwa Mungu mbinguni.
Teh teh teh , anajishauri abebe ya nani
View attachment 91543
Pongezi zangu za dhati kutoka kwa manoah mzeeiyaaa wa nivara.... zikufikie wewe na Mama v
na
na mtoto wenu kipenzi..................................
Sometimes huwa nadhani population imekuwa sana! I was wrong coz daily humu watoto wanazaliwa! Tumieni family planning sasa.
Baada ya madongo naomba sasa nimpongeze mama v kwa kutuzalia chema.