Tupo kwenye hatua za mwanzo...zoezi litakamilika very soon..
Wanajamvi ungana nasi katika furaha hii. Ni leo majira ya saa kumi na mbili ilimpendeza MUNGU Mama V kajifungua salama mtoto wa kike... Utukufu ni kwa Mungu mbinguni.
Wanajamvi ungana nasi katika furaha hii. Ni leo majira ya saa kumi na mbili ilimpendeza MUNGU Mama V kajifungua salama mtoto wa kike... Utukufu ni kwa Mungu mbinguni.
sie mrejesho wetu
ni kwamba tunapendana sana
hakuna wa kututenga zaidi ya kifo
kama unataka kupekenyua penzi letu
utakua hujipendi wala hupendi kucha na meno yako!!