Baba V na Mama V tuna furaha saaana, It is a baby girl.

Baba V na Mama V tuna furaha saaana, It is a baby girl.

Hongereni sana Baba V na Mama v....

Ila utulie sasa viambie vile vichanchuda vyako saiv unalea, usijembenda "Vick Kamata"
 
Last edited by a moderator:
hongera sana ila jiepusha kukaa nyuma ya saver,mtoto asikumiss
 
Hongera kwenu...Mungu amkuze kwa kimo na maarifa mwanao
 
101293.gif

Thanks a lot my FP
 
Last edited by a moderator:
Mungu awakuzie daima dumu,awe mrembo na mmuite aka Swts jina lenye utamu kwa faida ya baade
 
Last edited by a moderator:
Bravo kiongozi ! Bt hakikisha 2 yrs later unampachikia nyingine! Fastafasta.
 
Hongera sana Mkuu..Mbarikiwe sana..
Na Mumlee mwanenu katika njia impasayo..
Akue vyema akimpendeza Mungu na Wanadamu..
 
Back
Top Bottom