Baba V na Mama V tuna furaha saaana, It is a baby girl.

Hongera sana wenyekiti..... Hapo kazi kwako kuongezanuchapa kazi tu sasa... Jitahidi kumlea katika malezi bora ya kisasa
 
Baba V na Mama v hongereni sana kwa ujio huo wa mtoto wa kike. Mungu ampe afya na amkuze katika mapenzi makuzi yenye furaha na amani. Hongera sana mkuu
Naomba kuanza kuleta mahari kidogo kidogo mkuu Baba V
 
Last edited by a moderator:
Sometimes huwa nadhani population imekuwa sana! I was wrong coz daily humu watoto wanazaliwa! Tumieni family planning sasa.

Baada ya madongo naomba sasa nimpongeze mama v kwa kutuzalia chema.
 
hongera Baba V mpe pole mzazi mi mwenzie nishaanza kupona nitonye na kundi lake wanakuja muda si mrefu na mchakato wa DNA washikie gobore kama Bishanga alivyofanya
 
Last edited by a moderator:


Pongezi zangu za dhati kutoka kwa manoah mzeeiyaaa wa nivara.... zikufikie wewe na Mama v
na
na mtoto wenu kipenzi..................................​





Wanajamvi ungana nasi katika furaha hii. Ni leo majira ya saa kumi na mbili ilimpendeza MUNGU Mama V kajifungua salama mtoto wa kike... Utukufu ni kwa Mungu mbinguni.
 
Last edited by a moderator:
Naona mwezi huu ni wa kuleta brand new...hongera zenu
 
Hongera sana wenyekiti..... Hapo kazi kwako kuongezanuchapa kazi tu sasa... Jitahidi kumlea katika malezi bora ya kisasa

Ahsante sana Donn , ntaongeza bidii, najua mwanaume hasifiwi kula
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
hongera Baba V mpe pole mzazi mi mwenzie nishaanza kupona nitonye na kundi lake wanakuja muda si mrefu na mchakato wa DNA washikie gobore kama Bishanga alivyofanya

Kumbe ndo zao wakiskia mtoto kazaliwa wanakwenda kupima DNA...!? imekula kwao, nimeandaa mishale yenye sumu toka kwa Walenchoka na Wanchali Tarime, ntapoteza mtu wallah...! chezea kitu ingine aisee ila sio Mama v wangu
 
Last edited by a moderator:
Sometimes huwa nadhani population imekuwa sana! I was wrong coz daily humu watoto wanazaliwa! Tumieni family planning sasa.

Baada ya madongo naomba sasa nimpongeze mama v kwa kutuzalia chema.

We dogo, tatizo walioanzisha "uzazi wa mpango" walisahau kuanzisha na "vifo vya mpango", tutazaliana hadi bhaasi...., Thanks a lot Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Baba V na Mama v hongereni sana kwa ujio huo wa mtoto wa kike. Mungu ampe afya na amkuze katika mapenzi makuzi yenye furaha na amani. Hongera sana mkuu
Naomba kuanza kuleta mahari kidogo kidogo mkuu Baba V

Ahsante mkuu Mr Rocky, kuhusu kuleta mali ngoja nimpe copy Mamndenyi anipe mwongozo wa kiti.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…