Baba V na Mama V tuna furaha saaana, It is a baby girl.

hongera sana. kweli kitanda hakizai haramu. wakati umefungwa wenzio walikusaidia.
 
Hongereni sana namuomba Mungu azidi kumkuza huyo kiumbe aliyekuja duniani na awape ninyi uwezo wa kukitunza na kukilinda pia akipe afya njema zaidi na wingi wa ukuaji mwema
 
Baba V unamuuliza Mamndenyi au Mama v mwenye mtoto au wewe ndo wale wazazi wanaopokea mahari wakaenda kula na nyumba ndogo
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi ungana nasi katika furaha hii. Ni leo majira ya saa kumi na mbili ilimpendeza MUNGU Mama V kajifungua salama mtoto wa kike... Utukufu ni kwa Mungu mbinguni.

Hongereni jamani... naamini baba, mama na mtoto wote mnendelea vizuri.
 
Hongera kwa kutuletea mkwe, muombe Munge umlee bila kuchoka maana hiyo ndio furaha yenu katika ndoa
 
Congratulations for your new member pf your family Baba V. I am sure she is just BEAUTIFUL as her mother.

Thank God for this blessing.
 
Last edited by a moderator:

sie mrejesho wetu
ni kwamba tunapendana sana
hakuna wa kututenga zaidi ya kifo
kama unataka kupekenyua penzi letu
utakua hujipendi wala hupendi kucha na meno yako!!

Hahaaaa namuonea huruma sana hy jamaa coz hajui lililopo mbele yake kadandia gari kwa mbele!!! mm cp yangu macho Rutashoborolwa!!
 
Hongera baba V, pole na hongera mama V. Karibu sana baby V, hii ndio dunia, kuna chumvi na sukari, thick and thin. Kwa sasa just trust daddy and mummy. Karibu sana!
 
Hongereni sana, nami mwanitamanisha, natamani kuongeza mtoto mwingine, katoto kachanga kana raha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…