N:B: Baba wa familia anaehudumia sio aliekimbia au kukwepa majukumu
Kwa tamaduni za waafrika wengi baba ndie injini ya familia, ndio maana familia nyingi sana baba akiondoka mambo yanayumba hata kula inakuwa ya shida.
Injini inahitaji service, kuwekewa oili mara kwa mara kulainisha vyuma na kuondoa stress za misuguano ya vyuma, injini inahitaji upgrades, n.k.
Hapo zamani kwa watoto tuliozaliwa kabla ya 90s tuliona mama zetu wakiwapendelea baba zetu kwenye msosi, mfano kuku akichinjwa baba anapewa mapaja na firigisi, Enzi hizo mama zetu walikuwa wanafundwa kwamba mwanaume wa kiafrika ndie mpambanaji mkuu, inabidi atunzwe awe na afya imara ili apambane zaidi.
Huu mzigo sio wa kitoto, ukiona tunafaidi vaa viatu wewe

- Ada za watoto
- Mavazi ya watoto
- Matibabu ya watoto
- Matumizi ya mke
- Hela ya chakula kila siku
- Bili za umeme na maji
- ulipie kingamuzi
- Usimamie mafundi ujenzi
- utume hela kwa wazazi na kina bibi
- Usomeshe ndugu zako na wa mke
- pocket money ndugu zako na mke
- Michango ya harusi
- rambi rambi za misiba
- Rushwa