Nimekumbuka mama yangu alivokuwa anampendelea baba kwenye menu zake..Hata akichija kuku paja ni la baba na mazagazaga kibao...alikuwa anasema baba yenu Ndo anawaweka nyie mjini hapa ndio mtafutaji. Sijui wadada wa Leo kama Wana mioyo hiyo
Niko hapa hakuna kama baba fulani,we love him so much
Kama mama alikuwa anafanya hivo nawe automatic utafanya hivo.
Ila kuna mabinti nawaona wao hiyo hawana habari nayo
Niko hapa hakuna kama baba fulani,we love him so much
Kama mama alikuwa anafanya hivo nawe automatic utafanya hivo.
Ila kuna mabinti nawaona wao hiyo hawana habari nayo