Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Labda mungu wa manyani.
Mnan'gan'gana ameuawa na hamas, hebu tuonyeshe hiyo clip!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mungu wa manyani.
Mimi sio Mkristo sio Muislam wala sio Myahudi.Mmhh@ Mwanza sikujua kama wewe ni mkristo
Mimi sio Mkristo
Zoroastra, Mungu wetu ni Ahura Mazda.Ila?
Zoroastra inasemekana ilianza Miaka 1000 kabla ya kristo na uyahudi ilianza Miaka 2000 kabla ya ya kristo .Umeisahau Dini iliyoigwa na Dini za Abrahamic ya ZOROASTRA ya Iran ya Kale.
Jifurahishe kijana Ahura Mazda alianza kuabudiwa Persia kabla ya YahwehKwa maana Hiyo itakuwa zoroastra iliiga dini ya kiyahudi
Sio maneno yangu , ni historia ndiyo Inasema hivyo .Jifurahishe kijana Ahura Mazda alianza kuabudiwa Persia kabla ya Yahweh
View attachment 2858402View attachment 2858404Ahura Mazda kachongwa kwenye Jiwe nionyeshe sehemu ambayo Yahweh kachongwa kwenye Mawe ya kale.
Kilichomsaidia Yahweh ni uandishi wa Vitabu.
Dini zina evolve na kuigana kabla hata ya story ya Wana wa Israel kulikuwa na Dini mbalimbali na Miungu mbali mbali.Mfalme Cyrus mkuu wa Persia alimwomba nabii wa dini ya kiyahudi amfundishe dini ya kiyahudi na alipendezwa nayo .
Yote kwa yote Dini zote ni za zamani .Dini zina evolve na kuigana kabla hata ya story ya Wana wa Israel kulikuwa na Dini mbalimbali na Miungu mbali mbali.
Hakuna kitu kinachoitwa Dini ya kwanza.
Dini ya kiyahudi na Kikristo zimeiga mambo kadha wa kadhaa kutoka kwenye Uzoroastra ikiwemo Ubatizaji. na Uisilamu umeiga swala tano na kuchukua wudhu kabla ya kuswali.Yote kwa yote Dini zote ni za zamani .
Mfalme Darius wa Persia aliabudu ahua mazda akaweka sheria kila mtu aabudu hio miungu yake , Daniel nabii wa kiyahudi akakataa kuabudu wakamtupa Kwenye shimo la simba lakini hakudhurika mfalme akashangaa sana ikabidi wamtoe Daniel shimoni na mfalme akabadilisha sheria nchi nzima ikawa inafuata dini ya kiyahudi .
Mpaka Leo kuna idadi ndogo ya wafuasi wa dini ya kiyahudi .
Hao mamluki toka afrika walioingizwa jeshini kuua hamasi kwa kigezo Cha ajira za mashambaniWanajeshi wa Israel wakiombeleza kifo cha mwenzao. Tafakari...
Kama mtu hajui nembo ya IDF aangalie zoomed picha ama uniform pia
View attachment 2856727View attachment 2856799
Umeanza kukisahau kiswahili? , Myahudi wa Manzese 😂😂😂Andika vizuri nikujibu.
Honestly angalia kitu ulichoandika? Sijui kama ni typing error hapa jatubishani tunaeleweshana.Umeanza kukisahau kiswahili? , Myahudi wa Manzese 😂😂😂
Myahudi mweusi toka lini akawa honestHonestly angalia kitu ulichoandika? Sijui kama ni typing error hapa jatubishani tunaeleweshana.
MImi sio Myahudi na wala siishi Manzese naishi Temeke.Myahudi mweusi toka lini akawa honest
Umeanza kukisahau kiswahili? , Myahudi wa Manzese 😂😂😂
Myahudi mweusi mbona kiswahili chako cha Manzese uwanja wa Fisi ? 🤣🤣MImi sio Myahudi na wala siishi Manzese naishi Temeke.
Wewe ndio nasihindwa kukuelewa nini point yako kama ni ubishi tu mimi sio mwenzio tafuta mwingine mbishane.
QatarNchi rafiki Kwa Hamas?
Yaan Qatar wafanyeje Sasa?Qatar