biabia
Senior Member
- Nov 18, 2023
- 192
- 242
Wanajeshi walikuwa wanafanya nini tena kwenye Camp ya Kilimo?? Daah maswali ni mengi kuliko majibu
Ntakusaidia wewe na wenzio mnaokazana
Ohh why bullet proof vest
Mara ohh why kuna kambi ya Jeshi
Mzee Mollel alipokuwa anahojiwa ametoka safari na mzee bado yupo in shock kwa matukio na kifo cha kudhalilisha cha mwanae. Utaratibu uliopo Israel ni kuwa kila anaeenda kuangalia uharibifu uliofanywa katika zile Kibbutz lazima avae bullet proof vest hata Tulia Ackson na Elon Musk walivaa. Mzee atakuwa anadhani kuwa ni utaratibu. Maelezo aliyoyatoa kuhusu Joshua kuvaa bulletproof ingehitaji shahidi wa pili kuweza kueleza kilichosibu. Kingine ni kuwa kijana alikuwa anaishi Nahal Oz. Nahal Oz ninavyojua pia ina military base ambavyo ni sawa na hapa Tz tulivyo na Lugalo, au Ubungo, Gongo la mboto etc. Ukitaka kujua ninamaanisha nini jaribu kutafuta hilo eneo Google maps. Lipo mbali kidogo usawa wa Ubungo mataa na Mwenge (approx). Haimaanishi kuwa alikuwa kwenye military training. No sawa na kusema kisa kuna quarter za jeshi g/mboto basi wakazi nao ni afande, wrong. Kiukweli Mzee angekataa interview kwa ule muda. The man is still hurting. Tuwe na huruma basi.