Baba wa Joshua aomba serikali ya Tanzania iongee na nchi rafiki za HAMAS ili waachie mwili wa mwanae

Ndo imeandikwa kwenye Quran? Warumi ndo walimuua yesu. Kwanini mna chuki na wayahudi hadi mnaita mayahudi

Ninachosema ni kulingana na biblia takatifu. Mayahudi ndiyo waliomchongea Yesu kwa Kaisari. Lkn aliwakataliwa. Wamezoea njamanjama tangu zamani. Na kwa taarifa yako, ule uteule waliokuwa nao kama taifa hawana tena. Ila yahudi mmoja mmoja akimkiri bwana Yesu kuwa ni njia na uzima atakubalika kwa Mungu.
 
Kwa hio 😆 hao wayahudi "waliomuua" Yesu miaka 2000 iliyopita ndo hawa wa sasa eh? According to logic yako kila myahudi alitaka afe ikiwemo wanafunzi wake 12. Such BS. Hii reasoning imetumika kuwafanyia mauaji halaiki ya wayahudi yaliyofanywa na wakristo kwa sababu ya hichi kisingizio.
 
Hivi unaelewa kuwa mayahudi mpaka wa leo hawaamini kwamba yule waliyemuua alikuwa masihi aliye ahidiwa?

Je wajua ya kuwa mayahudi wasio abudu kwenye dini yao ya kiyahudi, wanajulikana kama waasi wa imani yao?
 
Kama hawaamini kuhusu Masihi kwani ina shida gani? Kama ni waasi inatusaidia vipi?
 
Ndiyo mkome kuwaabudu kwamba ni wateule wa Mungu wa Mbinguni. Muumba wa mbingu na nchi.
 
Acha ushabiki wa dini kihivyo. Nani kawaabudu?

Labda kama hufuatilii. Lakini kuna watu wanaamini na kusema kupitia izirael wana kubalika na Mungu. Badala ya kusema kupitia Yesu.
 
Dogo angejua asingepeleka masharubu uwanja wa vita
 
Hivi ilikuja kufikia wapi baada ya baba mzazi kurudi Tanzania bila mwili wa mwanae Joshua ?
 
Back
Top Bottom