biabia
Senior Member
- Nov 18, 2023
- 192
- 242
Ndo imeandikwa kwenye Quran? Warumi ndo walimuua yesu. Kwanini mna chuki na wayahudi hadi mnaita mayahudiSasa unabisha ya kwamba mayahudi ndiyo yaliyomuua Yesu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo imeandikwa kwenye Quran? Warumi ndo walimuua yesu. Kwanini mna chuki na wayahudi hadi mnaita mayahudiSasa unabisha ya kwamba mayahudi ndiyo yaliyomuua Yesu?
Ndo imeandikwa kwenye Quran? Warumi ndo walimuua yesu. Kwanini mna chuki na wayahudi hadi mnaita mayahudi
Kwa hio 😆 hao wayahudi "waliomuua" Yesu miaka 2000 iliyopita ndo hawa wa sasa eh? According to logic yako kila myahudi alitaka afe ikiwemo wanafunzi wake 12. Such BS. Hii reasoning imetumika kuwafanyia mauaji halaiki ya wayahudi yaliyofanywa na wakristo kwa sababu ya hichi kisingizio.Ninachosema ni kulingana na biblia takatifu. Mayahudi ndiyo waliomchongea Yesu kwa Kaisari. Lkn aliwakataliwa. Wamezoea njamanjama tangu zamani. Na kwa taarifa yako, ule uteule waliokuwa nao kama taifa hawana tena. Ila yahudi mmoja mmoja akimkiri bwana Yesu kuwa ni njia na uzima atakubalika kwa Mungu.
Kwa hio 😆 hao wayahudi "waliomuua" Yesu miaka 2000 iliyopita ndo hawa wa sasa eh? According to logic yako kila myahudi alitaka afe ikiwemo wanafunzi wake 12. Such BS. Hii reasoning imetumika kuwafanyia mauaji halaiki ya wayahudi yaliyofanywa na wakristo kwa sababu ya hichi kisingizio.
Kama hawaamini kuhusu Masihi kwani ina shida gani? Kama ni waasi inatusaidia vipi?Hivi unaelewa kuwa mayahudi mpaka wa leo hawaamini kwamba yule waliyemuua alikuwa masihi aliye ahidiwa?
Je wajua ya kuwa mayahudi wasio abudu kwenye dini yao ya kiyahudi, wanajulikana kama waasi wa imani yao?
Kama hawaamini kuhusu Masihi kwani ina shida gani? Kama ni waasi inatusaidia vipi?
Acha ushabiki wa dini kihivyo. Nani kawaabudu?Ndiyo mkome kuwaabudu kwamba ni wateule wa Mungu wa Mbinguni. Muumba wa mbingu na nchi.
Acha ushabiki wa dini kihivyo. Nani kawaabudu?
Bado upo, wenzetu technolojia ipo juu sn, nyama ya kula inakaa zaidi ya mwaka sembuse maiti?Huo mwili bado utakuwepo kweli?
FactIran na Qatar Zina ubalozi hapa Tanzania? Ndio marafiki wakuu wa Hamas
Balozi wa Palestina hawezi kuwaambia chochote Hamas, wanamdharau