Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Baba zao wako wapi ili wakalelewe vizuri?Unakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs .uliza kosa sasa ,eti aliruka juu ya makochi,mara oooh alipeleka masufuria sebuleni
Mara oooh alichora ukuta ,ooh anahangaika Sana hatulii
Mtoto mdogo wa umri huo anapaswa kupewa adhabu ndogo ndogo na mama yake sio wewe mwanaume mzima kutumia minguvu yako kumpa kipigo mtoto kama huyo.sema Tu humpendi
Kuna Yule kijana ambae Jana amemuoa binti wa ruto alieleza jinsi Baba yake wa kambo alikuwa hampendi na alimtesa sana.leo hii sijui anaweka wapi sura yake.
Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako.
Hyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa.angalia Tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao .malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniani.a
Hapo kwenye kubalikiwa kwa kulea watoto wa wengine ni probability.Unakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs .uliza kosa sasa ,eti aliruka juu ya makochi,mara oooh alipeleka masufuria sebuleni
Mara oooh alichora ukuta ,ooh anahangaika Sana hatulii
Mtoto mdogo wa umri huo anapaswa kupewa adhabu ndogo ndogo na mama yake sio wewe mwanaume mzima kutumia minguvu yako kumpa kipigo mtoto kama huyo.sema Tu humpendi
Kuna Yule kijana ambae Jana amemuoa binti wa ruto alieleza jinsi Baba yake wa kambo alikuwa hampendi na alimtesa sana.leo hii sijui anaweka wapi sura yake.
Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako.
Hyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa.angalia Tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao .malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniani.a
Yeah na wabarikiwe kwa kulea watoto wao wenyewe 😂Baba zao wako wapi ili wakalelewe vizuri?
Kiongozi ipo hivi,kulea mtoto siyo kuleta tu chakula mezani na kumnunulia midoli na katuni.ni pamoja na kumfundisha maadili mema.Akiharibika baadae napo mtasema baba wa kambo hakumfunza vyema.
Nionyeshe mmoja ambae hakubarikiwaHapo kwenye kubalikiwa kwa kulea watoto wa wengine ni probability.
Mtoto wa miaka mitatu ,minne unampigia nini mwanaume mzima?Kiongozi ipo hivi,kulea mtoto siyo kuleta tu chakula mezani na kumnunulia midoli na katuni.ni pamoja na kumfundisha maadili mema.Akiharibika baadae napo mtasema baba wa kambo hakumfunza vyema.
Huyo Baba Ana ChukiUnakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs .uliza kosa sasa ,eti aliruka juu ya makochi,mara oooh alipeleka masufuria sebuleni
Mara oooh alichora ukuta ,ooh anahangaika Sana hatulii
Mtoto mdogo wa umri huo anapaswa kupewa adhabu ndogo ndogo na mama yake sio wewe mwanaume mzima kutumia minguvu yako kumpa kipigo mtoto kama huyo.sema Tu humpendi
Kuna Yule kijana ambae Jana amemuoa binti wa ruto alieleza jinsi Baba yake wa kambo alikuwa hampendi na alimtesa sana.leo hii sijui anaweka wapi sura yake.
Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako.
Hyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa.angalia Tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao .malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniani.a
Ni kweli lakini, siku hizi kuna kasumba ya Wazazi wanadhani kulea ni kununua Unga na nyama na Mchele tuKiongozi ipo hivi,kulea mtoto siyo kuleta tu chakula mezani na kumnunulia midoli na katuni.ni pamoja na kumfundisha maadili mema.Akiharibika baadae napo mtasema baba wa kambo hakumfunza vyema.
Wanataka kulazimisha kuonyesha kuwa wanaume wasiotaka kuoa single maza ni inmature or wana roho mbaya wakati bby daddy zao ndio wana roho mbayaUngeishia tu kusema sio vizuri na ukatili kupiga watoto,ila huko kusema kulea mtoto sio wako unapata Baraka and blah blah we don't buy it...
Hahahaha ulidhani kuchapa kuleeeeSorry hilo neno kuchapa lilikua limeniconfuse kidogo now nmeelewa 😎