Baba wa Kambo acheni kuchapa watoto wadogo wa wake zenu mnajidhalilisha

Kuna wakati nilikuwa Nachapa kibao watoto wakinywa dawa ile anajitapisha 😎

NB: ni mgonjwa hapo bado natia mbata.!

Na ilikuwa inafanya kazi zaidi ya sana.!

Itoshe kusema Singo maza Pelekeni watoto wakalelewe na Baba zao

Malalamiko hayasaidii
 
Yeah na wabarikiwe kwa kulea watoto wao wenyewe πŸ˜‚
Tusichoshane kama ulizaa na mtu huyohuyo atatunza watoto wake na si kubeba watoto wako kupeleka kwingine wakapendwe unless baba yao hayupo duniani! Na single mothers ambao nawaonea huruma ni wale tu waliofiwa zaidi ya hapo labda unipe genuine reason zikae akilini mwangu
 
Wanataka kulazimisha kuonyesha kuwa wanaume wasiotaka kuoa single maza ni inmature or wana roho mbaya wakati bby daddy zao ndio wana roho mbaya
Anatupa vibe za wahenga "Ukipenda boga penda na ua lake" Muhuni kapenda Boga tu,he don't give a damn about Ua...
 
tunakataza kuoa single maza mnaona gubu hizo? Si mnaona gubu ?? Achana single mother hawafai. Aliemzalisha ka mkimbia nduki ww unaenda kuoa πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…