Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Huu ushauri kawape kaka zako.Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako.
Hyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa.angalia Tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao .malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniani.a
RUNKuna mmoja hapa akitaka "ela ya kula" usimtaje mtoto wake ukimtaja tu kinawaka sijui siku akikosea nikampiga itakuwajee
Kisigino kisogoni mkuu kitambo sana
Hongera mkuu kwa kujipendaKisigino kisogoni mkuu kitambo sana
Niwape watu na Niko haiKama wanabarikiwa basi mpe kaka yako, Baba yako au mjomba wako huyo mtoto amlee ili wabarikiwe wao maana wao pia sio wazazi wa huyo mtoto.
WA Samia sio?Tushasanuka single mother ni mradi
Acha uzinzi 😂Sorry hilo neno kuchapa lilikua limeniconfuse kidogo now nmeelewa 😎
Dada we ni singo maza? Shida ndo inapoanzia usimguse mtoto WA singo maza hata kumkanya akikosea ni ugomviUnakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs .uliza kosa sasa ,eti aliruka juu ya makochi,mara oooh alipeleka masufuria sebuleni
Mara oooh alichora ukuta ,ooh anahangaika Sana hatulii
Mtoto mdogo wa umri huo anapaswa kupewa adhabu ndogo ndogo na mama yake sio wewe mwanaume mzima kutumia minguvu yako kumpa kipigo mtoto kama huyo.sema Tu humpendi
Kuna Yule kijana ambae Jana amemuoa binti wa ruto alieleza jinsi Baba yake wa kambo alikuwa hampendi na alimtesa sana.leo hii sijui anaweka wapi sura yake.
Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako.
Hyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa.angalia Tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao .malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniani.a
Mimi ntakua baba wa kambo wa mtoto ambae BABA YAKE AMEFARIKI NA MPAKA NIONE KABULI LAKE.Unakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs .uliza kosa sasa ,eti aliruka juu ya makochi,mara oooh alipeleka masufuria sebuleni
Mara oooh alichora ukuta ,ooh anahangaika Sana hatulii
Mtoto mdogo wa umri huo anapaswa kupewa adhabu ndogo ndogo na mama yake sio wewe mwanaume mzima kutumia minguvu yako kumpa kipigo mtoto kama huyo.sema Tu humpendi
Kuna Yule kijana ambae Jana amemuoa binti wa ruto alieleza jinsi Baba yake wa kambo alikuwa hampendi na alimtesa sana.leo hii sijui anaweka wapi sura yake.
Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako.
Hyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa.angalia Tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao .malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniani.a
Sorry single mother sio jina zuri mkuuKinga dhaifa ni hii
-"mtoto wa kambo akikosea anatakiwa apigwe na mamake tu"
Wakati huo huo unawataka wababa wawatunze watoto wa kambo na ukafunika kombe kwa kusema kuwa ukimtunza mara utabarikiwa, Mara mtoto wa ruto sijui kafanyaje, mara kuwa baba kwa mtoto wa kambo.....
....hyo ni redflag kuwa baba wa kambo ni kutunza na kumpa huduma zote nzuri, lakini kumkanya na kumuadhibu huyo mtoto ni kazi ya mama yake aliyekaribu, maana babake yupo mbali...huo nao ni upumbavu mwingine...
kama unajua huna nyota ya kuolewa au kuishi na mwanaume acheni kupanua panua mapaja na kuleta shida duniani na kuwapa mizigo wanaume wasiohusika!
....tulieni hadi mjipate au mpate fedha zenu ili ukizaa umtunze mwenyewe na kumchapa mwenyewe.....
NAENDELEA KUAMINI KUHUSU YANAYOONGELEWA KUHUSU HAWA WANAWAKE WANAOJIUZA NA KUJA NA MAJINA MAZURI YA KIINGEREZA YA "SINGLE MOTHER"
Usipooneshwa kaburi usikubali mkuu. 🔥Mimi ntakua baba wa kambo wa mtoto ambae BABA YAKE AMEFARIKI NA MPAKA NIONE KABULI LAKE.
NB. Mwanzisha thread mbona povu sanaa kulikonii
Inasikitisha Sana.Unakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs .uliza kosa sasa ,eti aliruka juu ya makochi,mara oooh alipeleka masufuria sebuleni