Baba wa Kambo acheni kuchapa watoto wadogo wa wake zenu mnajidhalilisha

Kakimbia uzi wake.
Baba mzazi yuko kitambaa cheupe na kula bia n malaya hataki kubalikiwa?km kafa peleka kwa ndugu z baba.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nilitaka niruke na wewe, lakini bahati nzuri umemalizia vizuri! Kikubwa mtoto huyo apewe adhabu zilizo sawa na zile ungempa mtoto wako. Zaidi ya hapo itakuwa kweli unalipiza! Mimi nina uzoefu mkubwa sana kwenye hili. Dogo mpaka sasa hivi wamepata ajira yake Safi chini ya uangalizi wangu. Sikuwahi kumbagua hata kwenye elimu mpaka ndugu zangu wameninunia!
 
Akivunjika akiwa anaruk kweny makochi ni sawa?

Baba yake akimchapa ni sawa ila baba wa kambo sio sawa?

Ndio maana watoto wanaolelewa na single mothers kuna kitu wana miss

Biblia inasema usimnyime mtoto mapigo. Akikosea anyooshwe tu
 
Akivunjika akiwa anaruk kweny makochi ni sawa?

Baba yake akimchapa ni sawa ila baba wa kambo sio sawa?

Ndio maana watoto wanaolelewa na single mothers kuna kitu wana miss

Biblia inasema usimnyime mtoto mapigo. Akikosea anyooshwe tu
Asante sanaaaaaa ndugu yangu huyu mtoa thread anatoa povu kama la sabuni ya foma
 
Wabarikiwe wababa,wamama wote,ambao wanaolea watoto wa kambo,

Kulea mtoto Ambae si wako ni mtihani sana Kwa pande zote,baba wa kambo na mama wa kambo.
 
Aya ya mwisho kbs naomba kachukue Mirinda nyeusi kwa mangi ntalipa.
 
anakosea sana
Anaangalia upande wake.

Baba wa kambo ni baba
Anataka mtoto apande juu ya TV, tuchekelee TU.

R.i.p my daddy hukuwai kuvunga mbele za watu juu ya wageni walio tembea kwetu watoto wao wakawa wanapanda juu ya kitanda, meza, makochii nakuanza kuukimbiza kama ma panya

Mzee alikua mtu wa principal sanaa , Kuna dada mtoto wa ba mkubwa alikua na katoto katundu sanaa akiambiwa anakasirika haaahaa 😊 ☺️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…