Baba wa kambo jela kwa kumuambukiza mtoto UKIMWI kwa makusudi

Mbona adhabu ndogo sana, aisee nimetetemeka mimi kwa alichofanya huyo mzee.
 
Ikiwa nitazaa watoto wa kike kisha mama zao wakaenda kuishi kwa wanaume wengine na watoto lazima niwape semina ya kuishi na baba wa kambo ili wakwepe kufanyiwa vitendo vya kikatili na hao baba wa kambo. Kwanza wasiingilie ugomvi wa mama yao na mume wake, pili mahusiano ya mama yao na baba wa kambo yakiharibika hata kwa dakika moja watoroke haraka sana kwenda kwa bibi zao au kwa dada zangu hadi ugomvi wa mama yao na mume wake uishe na amani irejee. Mabinti zangu huko wanakoishi na mama zao wawaheshimu baba wa kambo wasijibizane nao ili kumsaidia mama yao. Ni bora wanawake wanaolewa wakiwa na watoto wawaache kwa bibi zao ili wakaanzishe familia mpya huko kwingine japo si vizuri kutenga watoto. Usalama wa watoto uzingatiwe katika mahusiano mapya kwa baba wa kambo
 
hivi kwanini hii tabia wanayo wazee???kuanzia 55+
 
Adhabu ya kijinga sana kwa kosa hilo. Nawaasa muwe makini sana na watu wa vijijini, ni wapumbavu sana.
 
Kwahiyo kawachoma sindano yenye damu yenye virusi watoto wote wawili ila aliyepata maambukizi ni mmoja.hii inawezekanaje?
 
Hii Kanda ya ziwa Ina matatizo, nasisitiza tu, hii Kanda Ina ukatili wa Hali ya juu yaani utu haupo kabsaaa
 
Sema huyo mama aliyeondoka akawacha watoto wadogo kwa baba wa kambo nae anakesi ya kujibu
 
Kila sehemu hiyo gender inafanya uharibifu, si kwa watoto, walemavu, wazee, wanawake, inatishaaa
Umesahau wizi ufisadi ujambaz utapeli rushwa daaah wanaume ni mateso lawama ushoga vita kazi ngumu full shidaa

Eeh Mungu tunaomba msaada wako

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Why huo mkoa kila siku unaongoza kwa visa vya kikatili hivi?yan kama sio binadam hakuna huruma,mtoto amekukosea nn?
 
Mnalalamikia Sheria ikiwa watunga Sheria ni akina musukuma na babu tale mnategemea nn? S
 
wangemdunga sindano zenye vimelea vya Gono na Bawasiri kwa pamoja
kisha wamfungie kwa room akojoe uji mzito mwaka mzima uku akijitia vidole kukuna mkvndv
 
30 michache sana, kama kweli amefanya hayo (hajasingiziwa), basi kifungo cha maisha jela ni haki yake.., yaani ingekuwa mimi huyo angekula shaba ya kichwa
Afungwe miaka 30 kwa gharama za nani? Kwa zuri lipi alilolifanya hata akatunzwe kwa muda wote huo?
 
Unatafuta kuhamisha mada kwa kuleta habari za gender?
Kwani ni gender gani hutumbukiza watoto vyooni au huchokonoa mimba?
Nitajie matukio ya kutumbukiza watoto chooni na kuchokonoa mimba nikutajie matukio yaliyofanywa na hiyo gender kwa mwezi mmoja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…