Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Sasa ndugu yangu nikienda jumuhiya ndiyo utanijibu, au umeshindwa kunijibu swali langu?Nendeni jumuiya wacheni kuhojihoji.
NB hatutomzika mtu yoyote asiyefika jumuiya kwani kufanya ivyo ni kumkosea kama jumuiya yake ni ya wala konyagi hao ndio wamzike
Hapa ndo umejidhihirisha ulivyo na mavi kichwani badala ya ubongo,mtoa mada kauliza swali nabii Ibrahim alikuwa dini gani ww badala ujibu ulicho ulizwa unakimbilia kuwashambulia waislam.Wafia dini watakuambia alikuwa muislam, nimenunua mada ngoja nishukiwe vikali na hao wafia dini, nawasubiri kwa hamu tunyukane kihoja
Mkuu!Kwa kuwa kila Dini ina maandiko inayodai ni ya Mungu,basi swala la Ibrahim alikuwa Dini gani?Linapaswa kujibiwa na Mungu wa dini husika.Kuna kitu huwa tunashindwa kuelewa kuhusu dini, maranyingi Wakristo wamekuwa wakiwakebehi Waislam wasemapo kwamba manabii ama mitume fulani waliokuwepo miaka mingi nyuma kabla ya Uislam ni Waislam. Hamtakiwi kukebehi kuhusu hili maana ndio imani yao na vitabu vyao vimeandika hivi.
Kinachofurahisha Wakristo wao hujiona wako sahihi kusema Manabii hao wlikuwa upande wao wakati Ukristo umekuja baadae sana.
Iko hivi: Wayahudi wanaamini maandiko yao matakatifu (Torah). Wakristo wameandika katika biblia yao takatifu kuhusu Moses na maandiko yake lakini hii haiwezi kuwashawishi Wayahudi waamini kwamba Ukristo ulikuwepo tangu kipindi cha Musa. Vivyo hivyo kwa Waislam, Quran imeandika kuhusu Musa na hata Yesu lakini hiyo haitawafanya Wakristo waamini kwamba Uislam ulikuwepo kabla ya Yesu.
Mkijua hili wala hakuna haja ya kumsema mwenzako wakati hata wewe umefata mfumo huo huo. Wakristo wanaamini Wayahudi walimkataa Yesu na walijutia kwa hilo baada ya kumuua lakini ukweli hadi leo hii Wayahudi hawamuamini Yesu kama messiah. Waislam wanaamini Muhammad ni muendelezo wa mpango wa Mungu kuwaleta wasaidizi wake kueleza utukufu wake lakini Wakristo hawaamini katika hilo.
Anayewaita wenzake wafia dini yeye keshaoza katika dini yake[emoji23]
Dini ni nini?Nini asili na chimbuko la neno Dini?.Mkuu wakati huo hakukuwepo na Dini. Ila kilichokuepo ni Imani Aidha imani kwa Mungu au kwa Miungu.
Kwa hiyo wakati huo wa Ibrahimu dini haikuepo maana hata yeye kabla ya hapo hakujua Mungu ila alikua akienenda kwa haki na ndio maana Mungu akamtokea na akabarikiwa kwa sababu ya nini? HAKI NA IMANI.
we mpuuyi nini, tangu lini mavi yakakaa kichwani? Adamu mwenyewe mnadai alikuwa muislam, itashindikana nini kwa ibrahimu? Mfia dini acha unafikiHapa ndo umejidhihirisha ulivyo na mavi kichwani badala ya ubongo,mtoa mada kauliza swali nabii Ibrahim alikuwa dini gani ww badala ujibu ulicho ulizwa unakimbilia kuwashambulia waislam.
Ww jamaa ni takataka.
Nimesema una mavi kichwani kwa Sababu uliyo yaandika hayana tofauti na mavi.we mpuuyi nini, tangu lini mavi yakakaa kichwani? Adamu mwenyewe mnadai alikuwa muislam, itashindikana nini kwa ibrahimu? Mfia dini acha unafiki
wachungaji wetu wanaingiaje hapo? Mbona utoa povu jingi we muumini? Acha jazba jibu hoja vizuri utaeleweka, habari za mavi zinatoka wapi?Nimesema una mavi kichwani kwa Sababu uliyo yaandika hayana tofauti na mavi.
Suala la waislam kusema Ibrahim ni muislam haikuhusu kwa sababu ndo wanamini hivyo ww ulicho takiwa ni kujibu swali la mleta mada kuwa Ibrahim alikuwa dini fulani kwa mujibu wa dini yenu.
Urokole umekutoa akili umekuwa mpumbavu ndo maana wachungaji wenu wamewageuza kuwa vitega uchumi maana mna akili za kipuuzi.
Unajibiwa kadiri utakavyo kuja ukija kwa hoja utajibiwa kwa hoja ukija kijinga utajibiwa kijinga vile vile ,mtoa mada ameuliza swali kuwa nabii Ibrahimu alikuwa dini gani ww badala ya kujibu swali la mleta mada,unaanza kuwadhihaki waislam kwani mtoa mada kuna sehemu yeyote ametaja waislam?wachungaji wetu wanaingiaje hapo? Mbona utoa povu jingi we muumini? Acha jazba jibu hoja vizuri utaeleweka, habari za mavi zinatoka wapi?
Ngoja Waje Umechokoza Hao Dini Ya HakiWALE JAMAA WAFUGA NDEVU, WAVAA KOBAZI WANAKUAMBIA ALIKUWA MUISLAMU WAKATI UISLAM UMEANZISHWA NA MUDY KARNE YA SABA.