Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
Mzee anataka mahari ilipwe au lah anamzika mwwnyewe kikristo,OK. Basi Mshaurini sana mzee aachane na msimamo wa kuizuia maiti kwani anamchelewesha binti (marehemu) kupokelewa huko Nuruni.
Mzee anataka mahari ilipwe au lah anamzika mwwnyewe kikristo,OK. Basi Mshaurini sana mzee aachane na msimamo wa kuizuia maiti kwani anamchelewesha binti (marehemu) kupokelewa huko Nuruni.
Ndiyo sahihi ili aachane na hao pasua kichwa.Mzee anataka mahari ilipwe au lah anamzika mwwnyewe kikristo,
Samahani, hii ni zaidi ya huo "umaskini" tunaousingizia.Umasikini ni mbaya sana
Sahihi na sio umasikini.Hii issue nadhani ni mila na desturi, hata baadhi ya makabila hufanya hivyo
Kweli labisa naunga mkono hoja,Sahihi na sio umasikini.
Huenda walimdharau huyo baba wa marehemu, wakamsilimisha dini Binti yake, wakamzalisha watoto, wakagoma kulipa mahari kwa kafiri, na sasa mzee naye kapata mwanya.Wagogo hawana aibu, unazuia maiti ya binti yako kuzikwa kisa Mahari, alipokuwa hai ulikuwa wapi? Na hiyo 1.5m ndiyo itaondoa umasikini wake huyo mzee?
Hakuna mila za binti kupigwa miti kila aendako halafu jamaa kudai mahari kwa mfu.Ni Mila na desturi za watu, kama wewe kwako Hazina Maana basi kuna watu zin make sense swala hapo sio umaskini wala tamaa ya pesa
InshallahOK. Basi Mshaurini sana mzee aachane na msimamo wa kuizuia maiti kwani anamchelewesha binti (marehemu) kupokelewa huko Nuruni.
Mume 2Marehemu alikuwa na mume wangapi?