Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

Hauna Makali, hawapo strict.
Unalewa na Muislam unalewa na mkristo. Pembeni kuna kitimoto huyu mmoja hali mwingine anakula. And sometimes wote wanakula kitimoto.

Utasema kuna wafia Dini hii nchi..?
Nenda huko Afrika ya kati uone kama wanaishi hivyo.
Nimesema fungua macho sababu umejificha na Serikali inatakiwa isiwape nafasi au sababu kuoneza hoja zao. Maamuzi kama haya yanawapa hoja ya kusema Serikali ya Waislamu inafunga Wakristo. Issue za udini zinasambaa haraka kuliko ukanda na ukabila.
 
Tutolee "ungeseeer" wako hapa....

Angekuwa ni "mpagani" ungeongea hivyo ?!!!

Kwa hiyo mtu akikosea asihukumiwe kwa kuwa ni mkristo ama muislam?!!![emoji15][emoji15]

Shule ulikwenda kusomea "ushoouuugeeer"?!!!
Udini hauna Shule wala logic. Ukijua hilo utaacha mzaha.
 
Nimesema fungua macho sababu umejificha na Serikali inatakiwa isiwape nafasi au sababu kuoneza hoja zao. Maamuzi kama haya yanawapa hoja ya kusema Serikali ya Waislamu inafunga Wakristo. Issue za udini zinasambaa haraka kuliko ukanda na ukabila.
Tunarud pale pale.. huyo aliyefungwa ana waumini zaidi ya 100 ktk kanisa lake? Yaan waache kumfunga mwamposa waje wahangaike na huyo mwenyew kanisa lenye watu 6? Ili iweje.?

Huyo wanamkomoa tu na kosa kafanya mwanae yeye nae kajumuishwa humo ni yale yale ya Mwenyekiti yule wa CWT aliyenyimwa kibali.
 
Utauchoma sana usipojua mipaka yako ya kiraia....

Muislamu na uraia wapi na wapi? Uislamu hauamini katika Taifa, Muislamu hana uraia wala Taifa, muislamu anaamini ummah, ndiyo maana matatizo yote haya nchi yetu inapata sasa hivi, kwa muislamu hakuna nchi kuna ummah …
 
Ndio mkoloni mwarabu kashaanza kazi ya kutushughurikia watanganyika. Kwa kuonyesha chuki dhidi ya ukristo Tanganyika.?! Mungu ingilia kati. 💔😭
 
Hehehe kosa la Jamaa ni kukosoa Dp world na Ngorongoro hayo mengine ni ya kuzugia tu
 
Sawa mheshimiwa mwenye kacheo kake awamu ya sita.
Kwa sasa mna uhuru wa kuongea chochote mnachojisikia.

Mungu anawaona[emoji38][emoji38]
Sina cheo chochote kile....

Ulofa tu umenijaa hapa Sondombwa Majohe...

#Karibu Komoni Ubandani kwa mama Lily [emoji120]
 
Everything close to God receives attacks , atashinda tena katika hili
 
Sawa, tuone hili suala litaishia wapi. Kwa maoni yangu huyo mchungaji hataenda ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…