Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

Vitusi vyako ni beneath me. Waislamu mwenzao ameingia amewatoa au unadhani wametoka kwa miujiza? Hata huo mchungaji Wakristo wenzake watamtoa. Narudia rufaa yake itafanikiwa.
Uamsho walitiwa ndani na Kikwete....nitolee udini wako hapa....
 
Hawa mahakimu punguani, wanafanya hivyo wakiamini wanamsaidia Samia kumbe wanautumbukiza utawala wake shimoni.

Hapa ni kama Samia ameamua kuwafunga wakristo gerezani.
Wakristo tena ?!! [emoji15][emoji15]

Kwa hiyo JPM hakuwatoa waislamu wa UAMSHO waliowekwa ndani na Kikwete ?!!!

Hivi ninyi mnasomea "ungeseeerrrrrr" unaowafanya muwe vichaaar wa UDINI ?!!!

NCHI NI ZAIDI YA HIZO DINI ZENU.....[emoji120]
 
Ni ujinga mtupu.

Serikali hii iliyojaa uovu, eti inataka idhibiti ibada! Haishangazi shetani kutaka kuwadhibiti watu wanaoonekana wapo kinyume chake.
Unajiabisha...

Kwa hiyo makanisa yasisajiliwe?!!

Kwa hiyo misikiti isisajiliwe ?!!!

Hivi akili "kisoda" hizi ni kwa MASLAHI ya nini haswa ?!!! [emoji15][emoji15]
 
Huyu si ndio yule mchungaji anayelalamika serikali ilimuua mwanae ili kumnyamazisha, wakamnyima kibaru kwa kuwa anakosoa sana hii serikali ya sa190
Lichizi hilo....

Eti anatuhumu DG wa TISS amemuua mwanaye....[emoji15][emoji15][emoji15]

Mental case
 
Serikali ya CCM haina dini.Sasa wanahusikaje kutoa kibali cha kuabudu wakati hawaamini katika huko kuabudu?
 
Wakristo tena ?!! [emoji15][emoji15]

Kwa hiyo JPM hakuwatoa waislamu wa UAMSHO waliowekwa ndani na Kikwete ?!!!

Hivi ninyi mnasomea "ungeseeerrrrrr" unaowafanya muwe vichaaar wa UDINI ?!!!

NCHI NI ZAIDI YA HIZO DINI ZENU.....[emoji120]
Toka kwenye bubble Samia hana Uhuru wa kuingilia dini ya kikristo kama unavyodhani. Hii pia ilikuwa ina apply kwa Nyerere, Mkapa na JPM hawakuwa na Uhuru wa kuingilia dini ya Kiislamu. Ni lazima viongozi waheshimu dini za watu.
 
Hivi unajua Nyerere alilipiga marufuku kanisa/dhehebu la Mashahidi ya Yehova? Kila kitu kinataratibu zake sio holelaholela
 
Nani aliwatoa? Kwanini walifungwa? Na kwanini walitolewa? Think.
Michezo ya kitoto hiyo...

Waliwekwa ndani kwa kutaka kuamsha UHAINI sawa na huyu Mchungaji...anasema DG wa TISS amemuua mwanaye ?!!![emoji15][emoji15][emoji15]

Pathetic
 
Ni vita dhidi ya ya Ukristo. Tunamsubiri Lusekelo on this
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Kwa hiyo UAMSHO waliposwekwa ndani kunyea mtondoo ilikuwa Vita dhidi ya UISLAMU?!!

Ulikwenda shule kusomea ungeseeerrrrrr?!!! [emoji15]
 
Najua hapa sipo lakini nitasema tu kero yangu, maana wingi huu, ujumbe utamfikia muhusika.
Binafsi naomba Serikali ni muda sasa waondoe spika za Adhana Misikitini, Kelele sana huku mitaani kwetu. Ukienda kulalamika kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa anasema sisi wachochezi, tulienda NEMC wakasema tupate barua toka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa. Wao waswali lakini hatutaki adhana ziunatupigia kelele.
 
Hili halina ubishi wowote kuwa wamemwonea huyu mchungaji...

Wametumia kigezo cha "kanisa kutokuwa na usajili" ili kumfunga lakini nyuma ya pazia ni chuki za "wakubwa" tu ndani ya serikali kwa mtu huyu kwa sababu jamaa huwa anausema uovu na madhambi yao hadharani mchana kweupe bila kupepesa macho!

Nyuma ya huu mgogoro na kumfunga jela Mch. Mbarikiwa Mwakipesile, yupo Dr Tulia Ackson (Spika wa Bunge la JMT) na ndiye anaye dictate kila kitu huku polisi na baadhi ya maafisa wa TISS wakiongozwa na RSO wa Mbeya wakiwa kama mbwa tu wa kuambiwa uma hapo, acha pale....

Kama ni ishu ya usajili wa taasisi za kiimani na kidini zinazoendesha shughuli zao za kiimani na ibada, basi ziko nyingi sana kwa mamia ambazo ziko kienyeji tu zimezagaa nchi nzima zikiendelea na shughuli zao
 
Toka kwenye bubble Samia hana Uhuru wa kuingilia dini ya kikristo kama unavyodhani. Hii pia ilikuwa ina apply kwa Nyerere, Mkapa na JPM hawakuwa na Uhuru wa kuingilia dini ya Kiislamu. Ni lazima viongozi waheshimu dini za watu.
Udini ni uchizi...

Wewe ni chizi....jichunguze....

Usiuingize ukristo katika upumbavu wa mwanadini mmoja....

Yaani mtu asihukumiwe kisheria kisa ni muislam ama mkristo halafu wafuasi wake waseme uislamu /ukristo UNASHAMBULIWA?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787]

Paaaambaaaf watu kama ninyi mh.Kagame hawaachi mitaani.....
 
Kwanza hapa siyo Rwanda, pili matusi yako hayana mashiko, tatu Serikali ya Samia haitafanikiwa kwenye hili jambo na mwisho huyo jamaa atashinda rufaa yake.
 
Sawa...

Mbona hapa si pahala pake ?!![emoji15][emoji15][emoji1787]

Watu aina yako msipodhibitiwa ndio mnakuwa magaidi wa kikristo na magaidi wa kiislamu....

Sijui hizo dini zenu za majahazi zinawawehushaje ninyi masakala mandwanye ?!!! [emoji15][emoji1787]
 
Kweli ziko nyingi zisizo na vibali....

Haiondoi ukweli kuwa MCHUNGAJI MBARIKIWA naye pia hana kibali pia....

Serikali imeanza naye ...yeye ndio wa mwanzo na "operation" inaendelea....

Bado unakita mbango ?!!! [emoji15][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…