Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

Kumbe Kaka yake shetani huwa analewa? 😂😂
 
Mchakato wa Rufaa uendelee
 
Kweli ziko nyingi zisizo na vibali....

Haiondoi ukweli kuwa MCHUNGAJI MBARIKIWA naye pia hana kibali pia....

Serikali imeanza naye ...yeye ndio wa mwanzo na "operation" inaendelea....

Bado unakita mbango ?!!! [emoji15][emoji1787]
Mtashindwa kirahisi sana hadi mtashangaa
 
Kweli ziko nyingi zisizo na vibali....

Haiondoi ukweli kuwa MCHUNGAJI MBARIKIWA naye pia hana kibali pia....

Serikali imeanza naye ...yeye ndio wa mwanzo na "operation" inaendelea....

Bado unakita mbango ?!!! [emoji15][emoji1787]
Nina maana hii kuwa;

Hawataweza kuzuia wala kuzifungia imani wala ibada za watu. Wao ndio watafungwa na kufungiwa kwenye mateso..

Mungu wa mbinguni lazima ataabudiwa tu na kila ulimi utakiri kuwa yeye ni Mungu Yehova na ni Bwana wa wote wenye mwili na kila goti lazima litapigwa mbele yake
 


Eti DG wa TISS amemuua mwanaye

Anastahili miaka 3 nyuma ya nondo.....

Shyyyyynzyyyyy tyyyppp
Kwani kuua mpaka ushike panga? Hata kuagiz tu nayo ni kuua.
Kama hana kibali funga hata miaka kumi
Aaaaaah Mudi nawe una visa
 
Kwa kuwa umesoma wewe na mwingine atasoma, na mwingine na mwisho wahusika wataupata ujumbe.
 
Eti kanisa la Bro😅, acha mfungwe tu.
Tukitoka hapo tuanze kuangalia na misikiti ya Ijumaa. Maana kila mtaa inaota km uyoga tena bila vibali.
Serikali kwa kesi hiyo imekosea ni bora wangetafuta kosa lingine.
Maana makanisa na misikiti kila baada ya nyumba wanapiga kelele na hawana vibali.
Vp kuhusu mfalme Zumaridi, mbona hakufungwa?
Nabii Tito je?
Maana wote hao hawakuwa na vibari na ilisibitishwa baada ya kukamatwa.
 
Kwani kafungwa kwa kosa gani mkuu?
Km ni kuzusha uongo kesi ingekuwa ni hiyo.
Ila kosa lililompeleka jela ni kumiliki kanisa bila vibali.
Tujadili hilo sio hisia zako
 
Unazidi kudhihirisha uchizi wako...

Umemsikia baba askofu Moses Kulola juu ya kuwaasa wanadini kutotumika kisiasa?!!!


BWANA YESU hakuja kupambana na WARUMI na siasa zao.....
 
jina la BABA: SAID OTHMAN MASANJA

jina la mtoto: PETER OJWANG MOI

MAMLAKA HUSIKA baada ya kumkamata mtuhumiwa: Tunaomba uthibitisho wa uraia wako

JAMII na WANAHARAKATI: Huu ni uonevu, sasa mtu atapataje cheti cha kuzaliwa cha baba yake.......

(Kuna vitu vingi vimejificha nyuma ya Boksi, kuna wakati tuwaachie wataalam wafanye kazi yao)
 
Iwe msikiti...

Liwe sinagogi...

Liwe HEKALU...

Kama halina KIBALI kufungiwa ni SAHALI....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Kwani kuua mpaka ushike panga? Hata kuagiz tu nayo ni kuua.

Aaaaaah Mudi nawe una visa
Ushahidi huo unao ?!!!

Wewe una HALLUCINATIONS?!!![emoji15][emoji1787]

Ni "auditory"?!!!

BWANA ASEMA....TIINI MAMLAKA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…