Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa wanapitisha sheria za kishenz
Population factor ameiweka kichwani lakini?Amenena Baba Askofu Dr Benson Bagonza ambaye ni mkuu wa Dayosisi ya KKKT Karagwe.
Kama una maswali, manung'uniko, mapovu, maoni, shukurani, nk - elekeza kwake Baba Askofu mwenyewe atakuhudumia kwa kadri ya mahitaji yako.
Shukurani nyingi sana kwako Baba Askofu Bagonza kwa mafundisho yako yenye upako wa kuponya roho na nafsi.
View attachment 1477530
Kidikiteta chetu kinatuendesha sana,Jk alitukosea sana Watanzania kutuletea mtu wa namna hiiEti sheria asishtakiwe kwa maovu yake akiwa madarakani!!!! Maana yake ndiyo kapewa go ahead ya kufanya kila aina ya dhambi dhidi ya Watanzania akijua sheria za Nchi HAZITAMGUSA kwani yeye yuko juu ya sheria. 😳😳😳
Wanaangalia matumbo yao ,sometimes ukisikiliza watu wazima na mavitambi yao wanaongea ujinga ili wachaguliwe kupata vyeo yani wanauvua utu wao kabisa!Maandazi Republic..
Kila mtu kawa shabiki mandazi wa wa ujinga na kujipendekeza
Kidikiteta chetu kinatuendesha sana,Jk alitukosea sana Watanzania kutuletea mtu wa namna hii
Huwezi kumuelewa kama uko kwenye kundi alilolisema.Kwa hiyo anataka turudie kadi ya CCM yenye uzito kuliko Pasipoti?
Low IQ!
population factor ni immaterial kwani sasa hivi wajinga wapo na wanaonekana na kusikika wazi hata kwenye taasisi muhimu kama bunge, mahakama na executive.Population factor ameiweka kichwani lakini?
Enzi hizo Mwalimu alianza na mtaji wa watu 10.35 milion ,sasa tuko mara sita ya hiyo populationAmenena Baba Askofu Dr Benson Bagonza ambaye ni mkuu wa Dayosisi ya KKKT Karagwe.
Kama una maswali, manung'uniko, mapovu, maoni, shukurani, nk - elekeza kwake Baba Askofu mwenyewe atakuhudumia kwa kadri ya mahitaji yako.
Shukurani nyingi sana kwako Baba Askofu Bagonza kwa mafundisho yako yenye upako wa kuponya roho na nafsi.
View attachment 1477530
suala la population ni nonsense.Enzi hizo Mwalimu alianza na mtaji wa watu 10.35 milion ,sasa tuko mara sita ya hiyo population
Aiseee!Eti sheria asishtakiwe kwa maovu yake akiwa madarakani!!!! Maana yake ndiyo kapewa go ahead ya kufanya kila aina ya dhambi dhidi ya Watanzania akijua sheria za Nchi HAZITAMGUSA kwani yeye yuko juu ya sheria. [emoji15][emoji15][emoji15]
Wajinga wanaonekana sababu ya mitandao na utandawazi, maana ujinga unaonekana mtu akizungumza na akitenda Zaman hapakuwa na urahisi wa watu kufahamiana bila hata kuonana kama ilivyo Leopopulation factor ni immaterial kwani sasa hivi wajinga wapo na wanaonekana na kusikika wazi hata kwenye taasisi muhimu kama bunge, mahakama na executive.
Zaman hakukuwa simu, television Radio walikuwa nazo wachache, hivyo zamani bila kuwa na hivyo vitu usingeweza kusikia wala kuona ujinga wa kijiji cha Jirani maana usingekuwa na means ya kupata taarifa zao wala kuwasikiasuala la population ni nonsense.
sasa hivi wajinga wapo na wanaonekana na kusikika wazi wazi hata kwenye mihimili yetu (bunge, mahakama na executive).
zamani mwalimu hakuruhusu uhuni kwenye mihimili!
siku hizi hata Daily News, TBC (zamani RTD) na Uhuru vinaripoti ujinga.Wajinga wanaonekana sababu ya mitandao na utandawazi, maana ujinga unaonekana mtu akizungumza na akitenda Zaman hapakuwa na urahisi wa watu kufahamiana bila hata kuonana kama ilivyo Leo
mbunge kumwita rais eti ni Yesu.Huo ujinga uliofutwa enzi za Nyerere ni upi?
Waliweza kuaccess hivyo vyombo ni wachache sana, kununua radio enzi hiyo ulitakiwa kuwa na ukwasi wa kutoshasiku hizi hata Daily News, TBC (zamani RTD) na Uhuru vinaripoti ujinga.
vyombo hivi vyote enzi za mwalimu vilikuwapo lakini hakukuwa na taarifa za ujinga.