Baba wa Taifa na Mizengwe - Makala ya Askofu Bagonza

Baba wa Taifa na Mizengwe - Makala ya Askofu Bagonza

mbunge kumwita rais eti ni Yesu.

au RC kumwamuru Mungu amshukuru Magufuli kwa kazi iliyotukuka.

au rais wa nchi kujitangaza kuwa anastahili kuwa kiongozi wa malaika wa Mungu.

nk, nk, nk, nk.

ujinga wa jinsi hii enzi za mwalimu usingeweza kuukuta hata kwa mwenyekiti wa kitongoji!

Ndo maana nimekuuliza ni ujinga upi ulifutwa na Nyerere!

Maana hao uliowataja hapa wamesoma hiyo UDSM "Bora" ya enzi za Nyerere.
 
Kasema kweli kabisa wajinga ni wengi sana. Si ajabu duniani tunaweza kuchukua namba ya Taifa lenye wajinga wengi kuliko Taifa lolote lile tena na wajinga wengine wana elimu ya Universities mbali mbali.

ujinga wa watanzania ni upi huo? hii mada inakaribia kua matusi sasa, tuanzie apo! ujinga wa watanzania ni upi na nyie ambao sio wajinga nn cha ziada?
 
Ndo maana nimekuuliza ni ujinga upi ulifutwa na Nyerere!

Maana hao uliowataja hapa wamesoma hiyo UDSM "Bora" ya enzi za Nyerere.
tunaongelea original version ya UDSM chini ya original Chancellor Mwalimu Nyerere.

siyo hii version takataka post-Mwalimu era.
 
Si kitu ukitia akili kichwani utaelewa nini ujinga wa Watanzania.

ujinga wa watanzania ni upi huo? hii mada inakaribia kua matusi sasa, tuanzie apo! ujinga wa watanzania ni upi na nyie ambao sio wajinga nn cha ziada?
 
Si kitu ukitia akili kichwani utaelewa nini ujinga wa Watanzania.

yaani kuna watu hua mnajikuta sana sjui mnajiona wakina nan: sasa point ya kuita watanzania wajinga ni nn? kama pamewashinda si mhame
 
Ndani ya Katiba hakuna kipengele cha kuhama Nchi bali KUKOSOA na kama hupendi watu kutumia UHURU wao waliopewa ndani ya katiba basi pita KIMYA KIMYA badala ya kutaka kunyamazisha watu.

yaani kuna watu hua mnajikuta sana sjui mnajiona wakina nan: sasa point ya kuita watanzania wajinga ni nn? kama pamewashinda si mhame
 
Ubora wa elimu unapimwa kwa matokeo mtaani siyo Makaratasi ya Vyuo Vikuu
 
tunaongelea original version ya UDSM chini ya original Chancellor Mwalimu Nyerere.

siyo hii version takataka post-Mwalimu era.

Hiyo original version iliishia mwaka gani nikutajie wajinga walio-graduate kipindi hicho.

Halafu viongozi makini huweka misingi imara na endelevu kwa vizazi,sasa kama Nyerere kuondoka UD mwaka mmoja tu kikawa kituo cha kuzalisha wajinga jua naye ni kiini cha tatizo.
 
Wahaya huwa wanajifanya much knowing ,walitaka nakumpindua nyerere hawa hawana nia njema,niwakupuuza tu
 
Amenena Baba Askofu Dr Benson Bagonza ambaye ni mkuu wa Dayosisi ya KKKT Karagwe.

Kama una maswali, manung'uniko, mapovu, maoni, shukurani, nk - elekeza kwake Baba Askofu mwenyewe atakuhudumia kwa kadri ya mahitaji yako.

Shukurani nyingi sana kwako Baba Askofu Bagonza kwa mafundisho yako yenye upako wa kuponya roho na nafsi.

View attachment 1477530
Upande wa kiroho kwa wakristo wamebaki viongozi wachache sana kama hawa
 
Hiyo original version iliishia mwaka gani nikutajie wajinga walio-graduate kipindi hicho.

Halafu viongozi makini huweka misingi imara na endelevu kwa vizazi,sasa kama Nyerere kuondoka UD mwaka mmoja tu kikawa kituo cha kuzalisha wajinga jua naye ni kiini cha tatizo.
kwa mfano Mwalimu alitengeneza vision ya Tanzania kuwa nchi ya viwanda.
wezi wakaviuza na vikageuzwa kuwa maghala.... ujinga wa kugeuza viwanda kuwa maghala si mbegu ya Mwalimu!
 
Mambo ya baba wa taifa yapo vitabuni ila nyie vijana wa zamani mlimchukia sana nyerere na kumtungia majina ya kumdhihaki hadi anaondoka anakuja mwinyi alikuwa ameshachoka leo mnamuita ndio best. Ukifa unapendwa sana
 
Back
Top Bottom