barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ok..population factor ni immaterial kwani sasa hivi wajinga wapo na wanaonekana na kusikika wazi hata kwenye taasisi muhimu kama bunge, mahakama na executive.
mbunge kumwita rais eti ni Yesu.
au RC kumwamuru Mungu amshukuru Magufuli kwa kazi iliyotukuka.
au rais wa nchi kujitangaza kuwa anastahili kuwa kiongozi wa malaika wa Mungu.
nk, nk, nk, nk.
ujinga wa jinsi hii enzi za mwalimu usingeweza kuukuta hata kwa mwenyekiti wa kitongoji!
Kasema kweli kabisa wajinga ni wengi sana. Si ajabu duniani tunaweza kuchukua namba ya Taifa lenye wajinga wengi kuliko Taifa lolote lile tena na wajinga wengine wana elimu ya Universities mbali mbali.
WakukurupukaKwa hiyo anataka turudie kadi ya CCM yenye uzito kuliko Pasipoti?
Low IQ!
tunaongelea original version ya UDSM chini ya original Chancellor Mwalimu Nyerere.Ndo maana nimekuuliza ni ujinga upi ulifutwa na Nyerere!
Maana hao uliowataja hapa wamesoma hiyo UDSM "Bora" ya enzi za Nyerere.
ujinga wa watanzania ni upi huo? hii mada inakaribia kua matusi sasa, tuanzie apo! ujinga wa watanzania ni upi na nyie ambao sio wajinga nn cha ziada?
Si kitu ukitia akili kichwani utaelewa nini ujinga wa Watanzania.
yaani kuna watu hua mnajikuta sana sjui mnajiona wakina nan: sasa point ya kuita watanzania wajinga ni nn? kama pamewashinda si mhame
Umemuelewa au Kama kawaida yenu kukurupuka....vp nasikia fomu ya urais kwenye chama chenu mmetoa moja ndio mmemuandalia YESU MPYA AU MEMBE? [emoji3]Kwa hiyo anataka turudie kadi ya CCM yenye uzito kuliko Pasipoti?
Low IQ!
tunaongelea original version ya UDSM chini ya original Chancellor Mwalimu Nyerere.
siyo hii version takataka post-Mwalimu era.
Upande wa kiroho kwa wakristo wamebaki viongozi wachache sana kama hawaAmenena Baba Askofu Dr Benson Bagonza ambaye ni mkuu wa Dayosisi ya KKKT Karagwe.
Kama una maswali, manung'uniko, mapovu, maoni, shukurani, nk - elekeza kwake Baba Askofu mwenyewe atakuhudumia kwa kadri ya mahitaji yako.
Shukurani nyingi sana kwako Baba Askofu Bagonza kwa mafundisho yako yenye upako wa kuponya roho na nafsi.
View attachment 1477530
kwa mfano Mwalimu alitengeneza vision ya Tanzania kuwa nchi ya viwanda.Hiyo original version iliishia mwaka gani nikutajie wajinga walio-graduate kipindi hicho.
Halafu viongozi makini huweka misingi imara na endelevu kwa vizazi,sasa kama Nyerere kuondoka UD mwaka mmoja tu kikawa kituo cha kuzalisha wajinga jua naye ni kiini cha tatizo.