Baba wa Taifa na Mizengwe - Makala ya Askofu Bagonza

"Wakati wa Baba wa Taifa, kadi ya CCM ilikuwa na uzito kuliko passport au degree ya chuo kikuu, tulifuta ujinga tukiwa na chuo kikuu kimoja, lakini sahizi tuna vyuo vikuu zaidi ya 50 ila tuna wajinga wengi" - Dkt Benson Bagonza Askofu wa KKKT Dayosisi ya karagwe
 
Je wanafundisha nini ?Elimu ya bongo ni mitihani tu haimjengi mwanafunzi kutafuta maarifa,na hao Dr ndio kabisa yaani utopolo,unafiki na uchawi
 
Askofu njaa tu
 
Mbona wao maaskofu wamekuwa wengi wakati watenda maovu ndo wameongezeka??
 
Ratio ni ile ile maana wakati ule, na watu walikuwa million 9/wa sasa ni million 60!
 
Kasema kweli kabisa wajinga ni wengi sana. Si ajabu duniani tunaweza kuchukua namba ya Taifa lenye wajinga wengi kuliko Taifa lolote lile tena na wajinga wengine wana elimu ya Universities mbali mbali.

kiukweli hizi lugha zenu za wajinga ni wengi zna kera sana! kwani mkiandika mada inaosomeka vizuri bila lugha za dharau mnapungukiwa nn? hizi ni lugha za maudhi na zna kera kwel na sio mara ya kwanza unatumia lugha ya kukera!! one more of this and you will regret
 

what are you talking about????, baba wa taifa alishaponea kupinduliwa madarakani zaidi ya mara moja! unaongea nn wewe
 
Usiukimbie ukweli kuhusu kauli ya Askofu Bagonza. Kwanini unaukimbia ukweli!? Remember that TRUTH WILL ALWAYS SET YOU FREE.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Me to regret? TRY ME WITH YOUR STUPIDITY.

Tanzania ina WAJINGA WENGI SANA kuliko Nchi yoyote ile duniani.

 

sasa kama truth will always set you free, why dont you relax and let the truth work on itself? unapata faida gan unapotamka maneno ya rubbish kama ivi? kama una mada si uongee hoja yako kwa lugha nzuri, umepewa platform ongea kwa lugha nzuri, tutasoma thread yako na tutatoa maoni yetu pia, maswala ya kuitana stupid wakati wengine hata sio wafuasi wa siasa utasababisha personal conflicts, dont blame anyone for anything to happen!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…