Baba wa Taifa na tatizo la Udini

Nikawaomba watoe mfano wa nchi moja tu duniani ambako wachache walisimama kuikomboa nchi yao
Mi nakupa huo mfano na nchi yenyewe ni Zanzibar. Wamanga wapo wachache lakini walipambana wakapata uhuru wa Zanzibar tena wao wakiwa ndiyo watawala....hao maprofesa wako wa Iowa inaonekana walipitiwa. Naweza kukupa tena mifano ya nchi 3 ukitaka.


Kwa nn unaamini Waislam ni wengi nchi hii. Na mm nitakwambia naamini Wakristu ni wengi. Na wala hautakuwa na premises zozote za kunibishia.

Hicho kitabu cha Sykes umeandika wewe na hapa unataka ndiyo kiwe rejea...inawezekanaje?
 
Wangemtuka Sana Samia
 
Ukweli unauma , unawapa kazi hawa vijana na propaganda walizopigwa
Jagina,
Tuna wajibu mkubwa wa kueleza historia ya wazee wetu walivyokuwa watu wema.

Mwanģalie Mwalimu katika hizo picha jinsi alivyopokelewa na wenyeji wake.

Tukifanya hivi ukweli utafahamika na watajiuliza hizi chuki na huu ubaguzi wa leo umetokea wapi?
 
Samia kasherehekea Birthday ya Kiislamu au Kikristu/ Kizungu ? Ametimiza miaka ya Kiislamu au Kikristu ?
 
Samia kasherehekea Birthday ya Kiislamu au Kikristu/ Kizungu ? Ametimiza miaka ya Kiislamu au Kikristu ?
Ona akili za Hawa wajinga that why ccm will rulling party if Hawa stupid wakiendelea kuwepo
 
Mwl Nyerere kuwa kiongozi wa Taifa hili was inevitable,whether wazee wako mudi wangependa au wasingependa.
 
Saa hizi nani anawanyima Elimu...mbona vijana wenu shule inawashinda.

Top 10,2021watu 8 wote wakristo.unakuja hapa kulialia badaala ya kuwapa watoto elimu
 
Nyerere aliweka misngi mibovu kabisa, haiwezekani nchi iwe % 20: 80 za kiutawala au kimadaraka
 
Mada kama hizi hazina afya kwa kipindi cha sasa.
Labda ziongelewe kwenye makongamano ya dini.

Sasa hivi ni ulimwengu wa sayansi na teknolojia.
Pia watu walio wengi sio watu wa dini.

Udini wowote ni udhaifu wa fikra.
 
Inside 10,
Hapana mimi hapa silalamiki.
Hapa mimi nasomesha ambayo pengine wewe hukuwa unayajua.

Ulalamishi una faida gani?
Tunakufahamu. Wewe siku zote huna lingine zaidi ya kuangalia kila kitu kwa kutumia kioo cha dini ya Kiislamu. Hata huko kaburini hayahaya yatakusumbua. Endelea kuhangaika, nobody is listening, na vitabu vyako vinaota buibui kwa kutokununuliwa. Nani apoteze muda kusoma maandishi ya mdini.
 
Serkali haijafanya hivyo, wewe ndiyo umewagawa. Serkali yenyewe imeongozwa na Wakristo na waislamu kwa zamu: Nerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, na sasa Samia
 
Mwaka huu Kuna Sensa, tusubiri mzee aanze kuchochea waislamu wakatae kuhesabiwa mpaka pale dodoso la Sensa litakapowekwa kipengele cha dini.
Hii habari ya kuwa wengi ndiyo wanapigania siyo sayantifiki na haina mashiko. Hata minority (wachache huwa wanapigania uhuru/haki. Kama nadharia yako ina mashiko basi Wasukuma nafikiri waliongoza, maana ndiyo wengi kuliko kundi lolote, kama tutafikiria makabila.
 
Nadhani unamjibu mzee wa 80:20. Umekosea kuniquote
 
Mbona huongei juu ya wapigania uhuru wa Zanzibar, au kwa sababu wenyewe ni weusi waliyokuwa wanagandamizwa na Waislamu wenzao. Na mpaka leo unataka Sultani aliyepinduliwa na weusi arudi kuwagandamiza Waislamu wenzake weusi, au ni sawa kuwagandamiza weusi, wawe wakristu au wailslamu. Je, lini utaongelea ugandamizwaji wa Wakristu huko Zanzibar, ambako Mkristu wa kwanza na Mwisho kushika wadhifavwowote alikuwa Isaac Sepetu. Wewe hujui Zanzibar kuna wakristu ambao wakikkutwa wanakula mchana wakati wa kufunga wanaswekwa lupango!
 
Ksk,
Haya yote yanaboresha historia ya Tanganyika.

Hakuna tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…