Baba wa Taifa na tatizo la Udini

Zote hizo ni propaganda Za kivukoni ukichanganya Na Za Pengo
 
Ksk,
Nilikuwa msaidizi wa Dr. Harith Ghassany wakati anatafiti historia ya mapinduzi ya Zanzibar.

Kwa njia moja nimesaidia katika kufahamika kwa historia ya Zanzibar.

Nakushauri uisome historia ya Zanzibar vizuri kwanza kabla hujataka kuijadili.
 
Nadhani unamjibu mzee wa 80:20. Umekosea kuniquote
Mose...
Document ya 20:80 siwezi kuchukua credit kwa kazi ile.

Ni masterpiece.

Waliotafiti na kuiandika ni Shura ya Maimamu.
 
Ksk,
Nilikuwa msaidizi wa Dr. Harith Ghassany wakati anatafiti historia ya mapinduzi ya Zanzibar.

Kwa njia moja nimesaidia katika kufahamika kwa historia ya Zanzibar.

Nakushauri uisome historia ya Zanzibar vizuri kwanza kabla hujataka kuijadili.
Soma tena ndiyo ujibu. Ni wapi ulitetea haki za Wakristu Zanzibari. Harith na wewe iko dugu moja. Tena huyo Harith ni mtetea Sultan. Wewe si ndiyo yuleyule wa TANZANET katika miaka ya 95-2005. Na huko miaka ya nyuma yalikuwa haya haya. Harith Ghassany is a Sultan sympathizer. He glorified the sultan of Zanzibar and up to today he is in Muscat, Oman, hoping one day the sultan will come back to Zanzibar to enslave Blacks. He was actually the chief auctioneer profiting from the selling of Black Tanganyikans people to whites. The Sultan, Harith, and you believe that there is nothing wrong selling Black non Muslims as slaves. I know you know this. You also know about the clandestine slavery business done by your people taking Black girls to Muslim countries to be enslaved... don't tell me you don't know this. When are you going to fight for these poor girls sent to Oman, Saudi Arabia, etc., to suffer without bitterness. Wewe unahangaika tu na kusikokuhutaji.
 
Huko Zanzibar je! How are they inclusive as far as religion is concerned!
 
Master...
Wengi mnakwepa kuzungumzia hii 20:80.
Mnakwenda kwenye mambo ambayo si moyo wa mjadala huu.
Hiyo 20:80 ni nini? Ndiyo uiiano wa wasislamu na wakristu? Kama ni hiyo hiyo msiyo kweli TZ au Tanganyika nhizo siyo ratio. Hizo ration ni sawa na kusema TZ ina wakeistu na bwailslam tu. Kuna aethists, koja, hindu, na majority mwanaoamini dini za makabila yao.
 
Huko Zanzibar je! How are they inclusive as far as religion is concerned!
Ksk,
Ninakuomba uwe unaniandikia Kiswahili maana ndicho ninachokimudu.

Kiingereza kwangu kinanipa shida.

Hii mada ya Zanzibar ni nzuri tujadili lakini si katika uzi huu.

Fungua uzi mpya nitakuja In Shaa Allah.
 
Nafikiri wewe hujui kama hujui.
Ksk,
Nilitembelewa na Waandishi na katika mazungumzo yetu waliniomba niwaonyeshe baadhi ya vitabu nilivyoandika.

Nadhani umenielewa.
 
Aethist siyo mpagani. Aethist ni mtu asiyeamini kuwepo kwa Mungu.
 
Wewe si umeishaandika! Sasa unataka hiyo historia iandikwe wapi?
 
Day...
Mimi nakuruhusu siyo uwe na shaka nami bali usiamini hata kuwa historia niliyoandika ina ukweli.

Tumeishi miaka tele na historia ya Kimambo na Temu na ya Chuo Cha CCM Kivukoni.

Hakuna aliyeuliza ukweli wake na maisha yaliendelea.
Wewe unajuaje hakuna aliyeuliza ukweli. Yaani unataka kutuamisha ni wewe tu umieandika!
 
Huyi Sykes mwenyewe hakuwa Mtanzania. Nani angemuamini Msouth Africa? Nyerere alimlipa Sykes mara elfu. Aliwahifadhi ndugu zake Sykes na kuwasaidia kupambana na makaburu. Damu nyingi za wazalendo zilimwagika kusaidia ndugu zake Sykes. Mbona hii huisemi! Hata sisi tumekula chumvi na tunajuwa historia. Sisi tunajihusisha na historia ya kweli na ya kujenga, wewe unajihusisha na historia iliyojificha kwenye udini, na ni yakubomoa.
 
Mtoa mada unakera kwa ufupi
Uislamu Nyerere Tanzania ilibebwa na waislamu so what?
Waislamu Wakristo Wasio na dini ni miongoni mwa a WaTz kipi kipya hapa
Oh nimesoma vitabu nimeandika vitabu so what?
Ipende Tz na watu wake haijalishi dini
Get it into your brain

It's ridiculous mtu mzima kutaka kuiweka nchi kwenye malumbano yasiyo ya msingi
Hamia Syria usitusumbue
Taifa halina dini watu ndio wenye dini
Mbinguni hatuiingii kwa dini zetu bali matendo yetu
 
Soine,
Sasa nakufahamisha.

Hali ilivyo katika serikali ni hii:

Wakristo wamehodhi 80%
Waislam 20%

Ukitaka maelezo zaidi nifahamishe nikuwekee mchanganuo.

Hili ndilo tatizo linalotukabili ulilokuwa hujui.
Saivi
Raisi muislam
Waziri mkuu muislam
Katibu mkuu kiongozi ni muislam
ambao ndo mamlaka kuu ya uteuzi. Je wanawapendelea waikristu na kuwabagua waislam wenzao.
 
Ni upumbavu 21 century mtu kulia lia mambo ya dini yangu nimebaguliwa,dini yangu naowa sizai watoto nikizaa hawathaminiwi dini yangu tupo wengi sijui tulipigania uhuru blah blah blahs tunaonewa usichokijua sisi ambao tumo humu tunaopata wasaa wakubishana huu ujinga ni vile tunajikuta tuna viji-channel vya kuingiza shiling mbili tatu yupo muislam mwenzako pale Tandale muda huu hana hata mia mbovu ameenda kwa mangi Mkristo kukopa unga watoto wake wa kiislam wale walale yeye humkuti humu akijadili wala he don't give a sh*t about it!!!

Mada yako hadi muda huu 20:47 usiku ina siku mbili ina likes 11 tu unadhani humu waislam wakukupa likes hawapo?wapo ila wanajua unaandika na unawajaza ujinga wao wanachojua maisha ya Tanzania mwisho wa siku bila kujali wewe ni muislam,Mkristo sijui Buddha yanataka uweke mkate mezani yenyewe maisha hayazijui hizo dini zenu miaka na miaka unaandika hizi pumba punguza elimisha jamii kwa ujumla umuhimu wa kujitambua na kuondokana na mdudu CCM,hizo ajira unazolilia hapa kwa waislam wenzako hawa ndo wanagawana wao wame-advance hawaangalii tena dini wanachoangalia ni ujamaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…