Mbona huongei juu ya wapigania uhuru wa Zanzibar, au kwa sababu wenyewe ni weusi waliyokuwa wanagandamizwa na Waislamu wenzao. Na mpaka leo unataka Sultani aliyepinduliwa na weusi arudi kuwagandamiza Waislamu wenzake weusi, au ni sawa kuwagandamiza weusi, wawe wakristu au wailslamu. Je, lini utaongelea ugandamizwaji wa Wakristu huko Zanzibar, ambako Mkristu wa kwanza na Mwisho kushika wadhifavwowote alikuwa Isaac Sepetu. Wewe hujui Zanzibar kuna wakristu ambao wakikkutwa wanakula mchana wakati wa kufunga wanaswekwa lupango!