Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
-
- #21
Mbowe kwa sasa ni mtuhumiwa. Kosa ni watu wanaohusisha msaada wa baba yake kudai uhuru na makosa yake. Kosa kubwa sana.Mkuu, kuna mahali Mbowe amejisifu?! Baba wa taifa anasifiwa sana, mama Maria akiulizwa kumhusu mumewe ataelezea, na maelezo yoyote atakayotoa ni sifa tupende tusipende, watoto na watu waliokuwa karibu na Nyerere wakimuongelea ni sifa tayari hata kama hatupendi!
Binafsi sijui ni lini Mbowe alijisifu au kumsifia baba yake japo siyo kosa kufanya hivyo kama isivyo kosa kwa wewe ulivyomsifia mzazi wako hapa.
Pamoja na hivyo....kwa nini mnamuongelea Mbowe kama mwenye hatia tayari?! Huo ndio wema wenu mnaojisifia?!
Sahihi kamanda uko sawa mahakama ziachwe zifanye kazi yake. Hakuna aliye na kinga.Mzee AIKAELI MBOWE na mkewe BI AISHI, na huyo dogo hapo mbele katikati yao ndiye FREEMAN MBOWE. Mzee AIKAELI alipambana Sana wakati wa kutafuta Uhuru wa TANGANYIKA na alimsaidia Sana NYERERE katika HARAKATI zao za Kudai UHURU wa NCHI hii,Leo UTAWALA wa mama umempa kesi ya UGAIDI https://t.co/6b6d55U0OA
View attachment 1920369
RubbishNyerere alisaidiwa na watu wengi tu kuna wengine walimasaidia mpaka sehemu ya kulala na kula mpaka nguo za kuvaa sasa unataka Mbowe apambane na rais aachwe kisa baba yake alikuwa anajuana la Nyerere
Element za ubambikiaji zimewajaa wengine hivyo siii wa kuwashangaa Sana ni sehemu ya weledi wa kibongo.Mkuu, kuna mahali Mbowe amejisifu?! Baba wa taifa anasifiwa sana, mama Maria akiulizwa kumhusu mumewe ataelezea, na maelezo yoyote atakayotoa ni sifa tupende tusipende, watoto na watu waliokuwa karibu na Nyerere wakimuongelea ni sifa tayari hata kama hatupendi!
Binafsi sijui ni lini Mbowe alijisifu au kumsifia baba yake japo siyo kosa kufanya hivyo kama isivyo kosa kwa wewe ulivyomsifia mzazi wako hapa.
Pamoja na hivyo....kwa nini mnamuongelea Mbowe kama mwenye hatia tayari?! Huo ndio wema wenu mnaojisifia?!
Mkuu, hiyo haiepukiki! Kama mzazi wa Mbowe angekuwa alikuwa kibaka bado watu wangehusianisha! Vyovyote vile, kama historia ya familia yako inafahamika kwa mabaya au mema ukipatwa na jambo liwe baya au jema watu watahusianisha tu!Mbowe kwa sasa ni mtuhumiwa. Kosa ni watu wanaohusisha msaada wa baba yake kudai uhuru na makosa yake. Kosa kubwa sana.
Huwa una tabia za kimalaya.Your English is broken.
PointlessRubbish
Si utoe mifano, kama nani, tunajua mtu aliyempa pesa na mali ni John Rupia, nyie wote uongo mtupu, mbowe hapo juu kaweka hadi picha, huyo mama kwanza hata uchungu wa Tanganyika haujui, si Mpemba huyo? Yeye na Mbowe nani big time??
Are you sure of that?Huwa una tabia za kimalaya.
Gaidi ni ccm tumeona gaidi kutoka ccm likiuwa askari wetu wasio na hatia,halafu mnapakazia mbowe wakati magaidi wa kweli ni CCMMzee AIKAELI MBOWE na mkewe BI AISHI, na huyo dogo hapo mbele katikati yao ndiye FREEMAN MBOWE. Mzee AIKAELI alipambana Sana wakati wa kutafuta Uhuru wa TANGANYIKA na alimsaidia Sana NYERERE katika HARAKATI zao za Kudai UHURU wa NCHI hii,Leo UTAWALA wa mama umempa kesi ya UGAIDI https://t.co/6b6d55U0OA
View attachment 1920369
Wanaccm ni mara ngapi Mbowe amewekwa jela na Chadema iko palepale, hivi sasa mmemuweka ndani kisha mnakwenda kuhakiki kama chama kina mwenyekiti na msipomkuta ofisini mnaifuta Chadema kwa kukosa mwenyekiti! Mkishaifuta Chadema Tanzania itapaa kimaendeleo na kuwa dunia ya kwanza.Mzee AIKAELI MBOWE na mkewe BI AISHI, na huyo dogo hapo mbele katikati yao ndiye FREEMAN MBOWE. Mzee AIKAELI alipambana Sana wakati wa kutafuta Uhuru wa TANGANYIKA na alimsaidia Sana NYERERE katika HARAKATI zao za Kudai UHURU wa NCHI hii,Leo UTAWALA wa mama umempa kesi ya UGAIDI https://t.co/6b6d55U0OA
View attachment 1920369
Nani mwanaCcm?Wanaccm ni mara ngapi Mbowe amewekwa jela na Chadema iko palepale, hivi sasa mmemuweka ndani kisha mnakwenda kuhakiki kama chama kina mwenyekiti na msipomkuta ofisini mnaifuta Chadema kwa kukosa mwenyekiti! Mkishaifuta Chadema Tanzania itapaa kimaendeleo na kuwa dunia ya kwanza.
Kamanda AsiyechokaNani mwanaCcm?
Mimi kwa mtazamo wangu Mbowe angejaliwa hekima angekuwa ameshaachana siasa kitambo tu. Maana hata madai ya kudai katiba mpya muda wake haujafika. Hatuwezi kudai katiba mpya huku chama chenye mlengo na maslahi mapana ya nchi ni kimoja. Kila chama cha upinzani kina mlengo finyu na kina maslahi ya kibaguzi. Nakubali CCM ina madhaifu lakini maendeleo ya nchi hayawezi kupatikana nje ya CCM. Hivyo basi inanidi CCM ijitathmini na ijipange upya na pia wapinzani wasiwe wabaguzi. Inabidi tuwe na chama cha upinzani ambacho kinaiwakilisha vyema nchi, chama cha upinzani ambacho maamuzi ya chama hayafanywi na mtu mmoja. Na viongozi wanawakilisha nchi na sio kanda flani ya nchi.Tukumbuke pia jamii nzima inaweza kukosea(the mob is not always right). Nahitimisha hivi, kwa mtazamo wangu huu sio muda sahihi wa kupata katiba mpya na kwa maslahi mapana ya nchi kijengwe chama pinzani chenye taswira ya chama tawala lakini malengo au mikikati endelevu mingine. Kwa mtanzania mwenye kuipenda nchi na kujua nini maana ya dola hawezi kusimama na kudai katiba mpya kwa sasa.Mzee AIKAELI MBOWE na mkewe BI AISHI, na huyo dogo hapo mbele katikati yao ndiye FREEMAN MBOWE. Mzee AIKAELI alipambana Sana wakati wa kutafuta Uhuru wa TANGANYIKA na alimsaidia Sana NYERERE katika HARAKATI zao za Kudai UHURU wa NCHI hii,Leo UTAWALA wa mama umempa kesi ya UGAIDI https://t.co/6b6d55U0OA
View attachment 1920369
Picha hii ilipigwa mwaka gani? Inaonekana kama ni ya miaka ya hamsini hivi, umri wa Mbowe ni miaka mingapi kwa sasa.Mzee AIKAELI MBOWE na mkewe BI AISHI, na huyo dogo hapo mbele katikati yao ndiye FREEMAN MBOWE. Mzee AIKAELI alipambana Sana wakati wa kutafuta Uhuru wa TANGANYIKA na alimsaidia Sana NYERERE katika HARAKATI zao za Kudai UHURU wa NCHI hii,Leo UTAWALA wa mama umempa kesi ya UGAIDI https://t.co/6b6d55U0OA
View attachment 1920369
Yaani utadhani at maamuzi ya CCM huwa yanafanywa na watu wote. Wakati wa JPM si wote mlifyata mikia mkawa mnamsifia kwa kila kitu, mkawa mnaumizana wenyewe kwa wenyewe na kuchongeana, lile (JPM) lilikuwa dume lenu. Wakati wote wa Nyerere nani aliweza kubisha kitu? Mwongo mkubwa wewe, congenital liarMimi kwa mtazamo wangu Mbowe angejaliwa hekima angekuwa ameshaachana siasa kitambo tu. Maana hata madai ya kudai katiba mpya muda wake haujafika. Hatuwezi kudai katiba mpya huku chama chenye mlengo na maslahi mapana ya nchi ni kimoja. Kila chama cha upinzani kina mlengo finyu na kina maslahi ya kibaguzi. Nakubali CCM ina madhaifu lakini maendeleo ya nchi hayawezi kupatikana nje ya CCM. Hivyo basi inanidi CCM ijitathmini na ijipange upya na pia wapinzani wasiwe wabaguzi. Inabidi tuwe na chama cha upinzani ambacho kinaiwakilisha vyema nchi, chama cha upinzani ambacho maamuzi ya chama hayafanywi na mtu mmoja. Na viongozi wanawakilisha nchi na sio kanda flani ya nchi.Tukumbuke pia jamii nzima inaweza kukosea(the mob is not always right). Nahitimisha hivi, kwa mtazamo wangu huu sio muda sahihi wa kupata katiba mpya na kwa maslahi mapana ya nchi kijengwe chama pinzani chenye taswira ya chama tawala lakini malengo au mikikati endelevu mingine. Kwa mtanzania mwenye kuipenda nchi na kujua nini maana ya dola hawezi kusimama na kudai katiba mpya kwa sasa.
Pumbavu tena yawezekana aliyoyafanya Baba yangu ( Unsung Hero ) si tu kwa Tanzania yako hii bali hata Uganda, Rwanda, Burundi, Afrika Kusini, Zimbabwe na Namibja ni makubwa na ya Thamani kuliko hata hayo aliyoyafanya Baba yake huyu Mbowe wenu.Jamii haikosei. Sauti ya jamii ni sauti ya Mungu. Sauti hiyo inasema na sauti hiyo inamnyanyua Mbowe kwasababu ya matendo ya baba yake sauti hiyo hiyo inasema "Mbowe sio gaidi". Unajipa ukituko kupingana nayo na kujikweza kwako kusukojulikana weye na mzazi wako asiyejulikana na jamii hiyo hiyo
Pumbavu sina Shobo hizo au Ushamba huo ila Rais wako Mstaafu Kikwete na Hayati Mkapa bila kumsahau aliyekuwa Katibu Mkuu wa iliyokuwa OAU Dk. Salim Ahmed Salim wanamjua. Ndiyo alikuwa Mmoja wa Nyerere's Think Tanks katika Utawala wake.Sasa hata kama hataki sifa wewe tu ungemtaja huyo baba yako hata kwa jina tu, kutokumtaja jina na kuongea bila evidence unataka tu kumdhalilisha tu Freeman Mbowe na wivu wako.
Wasted Sperm.Sema babako alihatarisha maisha yake kukutafuta wewe na sio hizi porojo ulizoandika hapa