Pumbavu sina Shobo hizo au Ushamba huo ila Rais wako Mstaafu Kikwete na Hayati Mkapa bila kumsahau aliyekuwa Katibu Mkuu wa iliyokuwa OAU Dk. Salim Ahmed Salim wanamjua. Ndiyo alikuwa Mmoja wa Nyerere's Think Tanks katika Utawala wake.
Sina haja ya Kumtaja kwani haitokusaidia kivile ila aliyoyafanya kwa Tanzania yako hii na nchi nyingi za Barani Afrika ni ya Kishujaa na Kizalendo kweli kweli.
Na siandiki ( sijibu ) hivi kama labda Kujitapa kama ambavyo Wapumbavu wachache wa Mfano wako mnadhani bali imenilazimu kuja na haya ili kuonyesha ( kuwaonyesha ) kuwa wapo Watanzania wengi waliofanya makubwa na ya Thamani kwa Tanzania yetu hii kuliko hata huyo Baba yake Mzazi Freeman Mbowe.
Kwa Mfano kuna Mtu kama Nape Nnauye huyu nikiambiwa kuwa Baba yake Mzazi Brigedia Nnauye kafanya mengi na makubwa kwa Tanzania, Msumbiji na hata Afrika Kusini na anastahili Sifa kuliko Baba yake Mzazi Freeman Mbowe wenu nitakubali kwa 100%.
Tanzania ina Unsung Heroes wengi kuliko hawa mnaowasikia na bahati nzuri wenyewe huwa hawapendi Publicity bali wanafurahi kuona Tanzania walioipambania katika Mazingira magumu na ya Hatari leo iko hivi.
Nimemaliza.