Baba yake Mbowe kusaidia kudai Uhuru sio defence ya Mbowe kutofanya uhalifu, tutumie busara kujenga hoja

Jibu lako linaonyesha kabisa wewe ni kyasaka Tena wa uru kishumundu
 
Achana nao sio kisa tu umejitoa basi unadhani ndo tiketi ya kuwaongoza wengine.

Mie nakumbuka mbowe Tena alifosi kuwa hatukubali ama hatusubiri ruhusa itoke kwa raisi so tunafanya kwa lazima.mie hii kauli yake naikumbuka kabisa.

Mana aliwaambia ngoja kwanza nitawapa go ahead Ila Mmachame kisa wao wamesoma hapa Sina wivu, akawa na kiburi akajiona kuwa Wana haki Sana.
Wewe kuzaliwa MTT wa kwanza ama kuwa na pesa na elimu yako sio tiketi ya kuwanyanyasa wadogo zako.

Pia mnavyodai babaye mmachame alikuwa think tanks ya Nyerere sijui ni kwa Nini hakuwa zaidi ya Nyerere.
Yaani wamachame Nyerere angekuwa ametokea kwao nadhani tusingekuwa tunaongea.

Yaani Mana wakifanya kidogo wanatupa shida Sana hata hatulali jamani.
Yaani ni fujo tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…