Baba yangu kachomwa nusu kaputi Jumatano hajazinduka mpaka leo, bado yupo ICU

Hilo ni Shambulizi la Moyo, kitaalamu inaitwa Cardiac Arrhythmia au inaweza kuwa ni Cardiac Arrest.

Ni mojawapo ya matokeo ya madhara yasiyotegemewa ya dawa za Nusu Kaputi. Ni tukio la bahati mbaya sana, lipo nje ya uwezo wa daktari kuweza kuhisi kwamba litatokea kwa mgonjwa wake kabla ya kumchoma sindano za nusu kaputi. Katika watu 10000 wanaochomwa dawa za nusu kaputi basi huenda mtu mmoja kati yao linaweza likamtokea.

Kuna watu wana hatari zaidi kupata hilo kitu wakichomwa Nusu Kaputi, hususani wazee(Miaka zaidi ya 60), Watu wenye magonjwa ya moyo nk.

Uwezekano wa kupona ni Fifty fifty, mara nyingi hupoteza maisha pale pale hii kitu inapotokea, kitendo cha mgonjwa kuweza kuwa hai zaidi ya masaa 48 toka hii kitu impate, ni kiashiria kizuri kwamba huenda akapata nafuu zaidi japokuwa inategemea ni kiasi gani shambulizi lilikuwa baya pamoja na Uwezo wa hospitali kutibu hiyo kitu.

POLE SANA.
Jipe Moyo, yote yanawezekana.
 
Pole sana Mkuu. Waulize hao madaktari na manesi waliohusika wakupe majibu ya uhakika. Si ajabu wanaelewa kosa walilolifanya lakini hawako tayari kukwambia. Jitayarisheni kuifungulia kesi hospitali ya KCMC msikubali kirahisi rahisi Baba yenu adhuriwe na labda asiweze tena kurudi katika hali yake ya kawaida. Poleni sana.
 
Hilo ni Shambulizi la Moyo, kitaalamu inaitwa Cardiac Arrhythmia au inaweza kuwa ni Cardiac Arrest.

Ni mojawapo ya matokeo ya madhara yasiyotegemewa ya dawa za Nusu Kaputi. Ni tukio la bahati mbaya sana, lipo nje ya uwezo wa daktari kuweza kuhisi kwamba litatokea kwa mgonjwa wake kabla ya kumchoma sindano za nusu kaputi. Katika watu 10000 wanaochomwa dawa za nusu kaputi basi huenda mtu mmoja kati yao linaweza likamtokea.

Kuna watu wana hatari zaidi kupata hilo kitu wakichomwa Nusu Kaputi, hususani wazee(Miaka zaidi ya 60), Watu wenye magonjwa ya moyo nk.

Uwezekano wa kupona ni Fifty fifty, mara nyingi hupoteza maisha pale pale hii kitu inapotokea, kitendo cha mgonjwa kuweza kuwa hai zaidi ya masaa 48 toka hii kitu impate, ni kiashiria kizuri kwamba huenda akapata nafuu zaidi japokuwa inategemea ni kiasi gani shambulizi lilikuwa baya pamoja na Uwezo wa hospitali kutibu hiyo kitu.

POLE SANA.
Jipe Moyo, yote yanawezekana.
Asante kwa maelezo mazuri angalau nimefarijika
 
Pole sana...
Ntamuweka kune maombi...
Usiache kusali pia,atapona tu...
 
Ndugu wanajamii forum baba yangu alikuwa afanyiwe upasuaji mdogo kwenye ziwa kulikuwa kuna uvimbe alipochomwa sindano ya nusu kaputi mapigo ya moyo yakasimama ghafla na akapoteza fahamu toka jumatano asubuhi yupo icu hajitambui anapumulia mashine!tukiwauliza madaktari hawana majibu sahihi!swali langu nikwamba atakuwa amepata tatizo gani?naombeni ushauri wenu kwayoyote anayejua ishu kama hii!natanguliza shukrani.
Pole maee manka vipi hata hajigusi imamaana ametulia tuu!!
 
pole sana kuna ndugu yetu alichomwa hivohivo lugalo hakuzinduka tena mpaka kesho ila ni kumuomba tu mungu .sukari ya mzee ipoje?
Asante!Kwasasa kuna muda anafungua macho na kunyanyua mikono na miguu shida bado kwenye upumuaji hawezi kupumua bila mashine ! Kuhusu sukari iko vizuri hana tatizo la sukari!
 
kama sukari ipo vizuri basi hayupo hatarini kibinadamu ila tumuombe mungu
 
I blame kcmc wanakiwaha na kauzbe flani, once upon time nilishasikia malalamiko kihusu uzembe.
 
Hilo ni Shambulizi la Moyo, kitaalamu inaitwa Cardiac Arrhythmia au inaweza kuwa ni Cardiac Arrest.

Ni mojawapo ya matokeo ya madhara yasiyotegemewa ya dawa za Nusu Kaputi. Ni tukio la bahati mbaya sana, lipo nje ya uwezo wa daktari kuweza kuhisi kwamba litatokea kwa mgonjwa wake kabla ya kumchoma sindano za nusu kaputi. Katika watu 10000 wanaochomwa dawa za nusu kaputi basi huenda mtu mmoja kati yao linaweza likamtokea.

Kuna watu wana hatari zaidi kupata hilo kitu wakichomwa Nusu Kaputi, hususani wazee(Miaka zaidi ya 60), Watu wenye magonjwa ya moyo nk.

Uwezekano wa kupona ni Fifty fifty, mara nyingi hupoteza maisha pale pale hii kitu inapotokea, kitendo cha mgonjwa kuweza kuwa hai zaidi ya masaa 48 toka hii kitu impate, ni kiashiria kizuri kwamba huenda akapata nafuu zaidi japokuwa inategemea ni kiasi gani shambulizi lilikuwa baya pamoja na Uwezo wa hospitali kutibu hiyo kitu.

POLE SANA.
Jipe Moyo, yote yanawezekana.
Ure very realistic and courageous mkuu.
 
Ni kawaida; ndugu wa mgonjwa siku zote hakubali kuwa mauti ni haki ya mwanadamu. Kila kifo ndugu wa mgonjwa huwa hawakosi pa kusukumia lawama zao. Utasikia mara overdose, mara hakupewa huduma haraka, mara hivi mara vile ili mradi tu hakosi sababu ya kusingizia. Kifo ni kifo tu, usipokufa leo utakufa kesho!
Mbona unazungumza kama hauna ufahamu ndugu............vifo vya binadamu huwa kuna aina fulani ya uzembe hutokea aidha wa kusababishiwa au wakusababisha.............cha muhimu ni kujua kuwa hizi procedure za matibabu huhitaji umakini wa hali ya juu.......yaani uzembe kidogo unaweza sababisha madhara ya hali ya juu....
 
Hilo ni Shambulizi la Moyo, kitaalamu inaitwa Cardiac Arrhythmia au inaweza kuwa ni Cardiac Arrest.

Ni mojawapo ya matokeo ya madhara yasiyotegemewa ya dawa za Nusu Kaputi. Ni tukio la bahati mbaya sana, lipo nje ya uwezo wa daktari kuweza kuhisi kwamba litatokea kwa mgonjwa wake kabla ya kumchoma sindano za nusu kaputi. Katika watu 10000 wanaochomwa dawa za nusu kaputi basi huenda mtu mmoja kati yao linaweza likamtokea.

Kuna watu wana hatari zaidi kupata hilo kitu wakichomwa Nusu Kaputi, hususani wazee(Miaka zaidi ya 60), Watu wenye magonjwa ya moyo nk.

Uwezekano wa kupona ni Fifty fifty, mara nyingi hupoteza maisha pale pale hii kitu inapotokea, kitendo cha mgonjwa kuweza kuwa hai zaidi ya masaa 48 toka hii kitu impate, ni kiashiria kizuri kwamba huenda akapata nafuu zaidi japokuwa inategemea ni kiasi gani shambulizi lilikuwa baya pamoja na Uwezo wa hospitali kutibu hiyo kitu.

POLE SANA.
Jipe Moyo, yote yanawezekana.
Uko sahihi Mkuu. Naongezea kidogo. Mechanism ya dawa hizi za nusu kaputi huwa zina high density. Kutokana na kuwa na density kubwa, hutia ganzi tokea eneo ilipochomwa , kuelekea chini kwenye unyayo wa miguu. Mara chache saana dawa hupanda juu kichwani kupitia uti wa mgongo badala ya kushuka Chini. Hivyo tuzidi kumweka mbele za Mungu na atarejelea hali Yake ya kawaida.
 
Kwa kawaida daktari kabla ya kutumia anesthetic drug huwa anamuuliza mgonjwa kama ana reaction yoyote kwa dawa hizo na inapotokea reaction yoyote inayoweza kuhatarisha uhai wa mgonjwa kuna dawa wanaweza ku reversal the situation na daktari ambaye anayetakiwa kusimamia hilo zoezi anaitwa anesthesiologist ndie mwenye uwezo wa kuweza kutatua complications zozote zitakazojitokeza.

Swali la msingi alikuwepo huyo daktari? Au walikuwa wanajaribu kuondoa huo uvimbe kwenye ziwa kwa kutumia general physician.
 
Back
Top Bottom