Baba yangu kachomwa nusu kaputi Jumatano hajazinduka mpaka leo, bado yupo ICU

Baba yangu kachomwa nusu kaputi Jumatano hajazinduka mpaka leo, bado yupo ICU

Mungu awape nguvu,subira na uvumilivu kipindi hiki kigumu na tumuombe heri mzee katika safari yake ya mwisho.
 
Asanteni wakuu Leo ndo tumempumzisha baba ktk nyumba yake ya milele!shukrani kwa wote kwa ushauri na pole mlizonipa hakika mmekuwa faraja kwangu mbarikiwe sana
 
Asanteni wakuu Leo ndo tumempumzisha baba ktk nyumba yake ya milele!shukrani kwa wote kwa ushauri na pole mlizonipa hakika mmekuwa faraja kwangu mbarikiwe sana
Daa ndo ikawa jumla, pole sana Ndugu
 
Ndugu wanajamii forum baba yangu alikuwa afanyiwe upasuaji mdogo kwenye ziwa kulikuwa kuna uvimbe alipochomwa sindano ya nusu kaputi mapigo ya moyo yakasimama ghafla na akapoteza fahamu toka jumatano asubuhi yupo icu hajitambui anapumulia mashine!tukiwauliza madaktari hawana majibu sahihi!swali langu nikwamba atakuwa amepata tatizo gani?naombeni ushauri wenu kwayoyote anayejua ishu kama hii!natanguliza shukrani.
Lakini Jumatano si ni jana tu. Yaani leo ni Alhamisi, tuombe Mungu, tusubiri na tuwahoji KCMC
 
Lakini Jumatano si ni jana tu. Yaani leo ni Alhamisi, tuombe Mungu, tusubiri na tuwahoji KCMC
Ungeangalia tarehe na comments ungejua kwamba mzee wake kashafariki. Ni habari ya Nov 5 yani last week na katikati ya uzi mleta uzi alileta mrejesho kwamba mzee wake kalala usingizi wa mauti. Apumzike kwa Amani
 
Msischoke kumuombea kwa Mungu atatenda miujiza poleni sana wana familia wote na ndugu kwa ujumla bila shaka pana tatizo hapo kuwa na lugha nzuri kwa hao madaktari watafanya kazi nzuri
 
Asanteni wakuu Leo ndo tumempumzisha baba ktk nyumba yake ya milele!shukrani kwa wote kwa ushauri na pole mlizonipa hakika mmekuwa faraja kwangu mbarikiwe sana

Pole sana mpendwa......Mungu ampe pumziko la amani, na roho mtakatifu akafanyike faraja kwenu
 
Back
Top Bottom