Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Pole sana ndugu. Umenikumbusha mbali sana, mzazi mwezangu nyuzi zilifumka akiwa na mwezi amefanyiwa operation ya uzazi, damu zilikuwa nyingi, nafika hospital Dr. anaagiza apelekwe ICU, aisee nilikuwa nikiagizwa kifaa sijui nilikuwa natembea kama jini kuwahisha mahitaji. Mungu ni mwema atazinduka tu.
Mkuu huyu mgonjwa inasemekana ameshafariki