Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
But he died alreadypole sana ...May he get well soon..
Daaah pole sana mamii.Wapendwa Mungu kampenda zaidi baba yangu
huh[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] jamn dah pole sanaaaa...may his soul rest in peaceBut he died already
Daa ndo ikawa jumla, pole sana NduguAsanteni wakuu Leo ndo tumempumzisha baba ktk nyumba yake ya milele!shukrani kwa wote kwa ushauri na pole mlizonipa hakika mmekuwa faraja kwangu mbarikiwe sana
Lakini Jumatano si ni jana tu. Yaani leo ni Alhamisi, tuombe Mungu, tusubiri na tuwahoji KCMCNdugu wanajamii forum baba yangu alikuwa afanyiwe upasuaji mdogo kwenye ziwa kulikuwa kuna uvimbe alipochomwa sindano ya nusu kaputi mapigo ya moyo yakasimama ghafla na akapoteza fahamu toka jumatano asubuhi yupo icu hajitambui anapumulia mashine!tukiwauliza madaktari hawana majibu sahihi!swali langu nikwamba atakuwa amepata tatizo gani?naombeni ushauri wenu kwayoyote anayejua ishu kama hii!natanguliza shukrani.
Ungeangalia tarehe na comments ungejua kwamba mzee wake kashafariki. Ni habari ya Nov 5 yani last week na katikati ya uzi mleta uzi alileta mrejesho kwamba mzee wake kalala usingizi wa mauti. Apumzike kwa AmaniLakini Jumatano si ni jana tu. Yaani leo ni Alhamisi, tuombe Mungu, tusubiri na tuwahoji KCMC
Asanteni wakuu Leo ndo tumempumzisha baba ktk nyumba yake ya milele!shukrani kwa wote kwa ushauri na pole mlizonipa hakika mmekuwa faraja kwangu mbarikiwe sana
Pole sanaa,mungu awatie nguvu wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu.Wapendwa Mungu kampenda zaidi baba yangu