Amefariki!kama sukari ipo vizuri basi hayupo hatarini kibinadamu ila tumuombe mungu
Pole sana. Mungu awape ujasiri na nguvu. Apumzike kwa amani.Wapendwa Mungu kampenda zaidi baba yangu
jamani pole mkuu nimekuja kuuliza vipi .. alale kwa amaniNdugu wanajamii forum baba yangu alikuwa afanyiwe upasuaji mdogo kwenye ziwa kulikuwa kuna uvimbe alipochomwa sindano ya nusu kaputi mapigo ya moyo yakasimama ghafla na akapoteza fahamu toka jumatano asubuhi yupo icu hajitambui anapumulia mashine!tukiwauliza madaktari hawana majibu sahihi!swali langu nikwamba atakuwa amepata tatizo gani?naombeni ushauri wenu kwayoyote anayejua ishu kama hii!natanguliza shukrani.
Pole sana ndugu...Mungu akutie moyo wa ujasiri ili uweze kupita salama kipindi hiki kigumu. Hiyo ndiyo njia yetu sote, tunapishana muda tu. Pole sana Manka.Wapendwa Mungu kampenda zaidi baba yangu
Ooh sorry for the loss my dear, may God rest his soul in ternal peace.Wapendwa Mungu kampenda zaidi baba yangu
Wapendwa Mungu kampenda zaidi baba yangu