Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Pole sana ndugu. Umenikumbusha mbali sana, mzazi mwezangu nyuzi zilifumka akiwa na mwezi amefanyiwa operation ya uzazi, damu zilikuwa nyingi, nafika hospital Dr. anaagiza apelekwe ICU, aisee nilikuwa nikiagizwa kifaa sijui nilikuwa natembea kama jini kuwahisha mahitaji. Mungu ni mwema atazinduka tu.
Wapendwa Mungu kampenda zaidi baba yangu
Pole sana, niliposti pasipo kufahamu kama baba ameshatutoka!! Ni muda mgumu sana lkn pia ni muda ambao familia inatakiwa kuwa na mshikamano. Ni muda pia wanandugu wasio na imani kupenyeza imani za kishirikina na mwisho ni kuleta mtafaruku ndani ya familia. Sote tu mavumbi nduguPole sana ndugu. Umenikumbusha mbali sana, mzazi mwezangu nyuzi zilifumka akiwa na mwezi amefanyiwa operation ya uzazi, damu zilikuwa nyingi, nafika hospital Dr. anaagiza apelekwe ICU, aisee nilikuwa nikiagizwa kifaa sijui nilikuwa natembea kama jini kuwahisha mahitaji. Mungu ni mwema atazinduka tu.
Asante ni kcmc
This post values are outdatedAliye mpiga sindano ya nusu kaputi ni Daktari, Nurse au - kama tatizo lilikuwa,kwenye titi kwa nini apigwe sindano ya kumfanya apote fahamu kabisa badala ya kufanya sehemu ya titi tu ndiyo iwekwe ganzi na so mwili mzima.
Pole sana mkuu, kuna daktari mmoja aliwahi kuniambia kitaalamu kuna vipimo huwa vinatakiwa kuchukuliwa kabla mgonjwa hajachomwa sindano ya nusu kaputi ila madaktari wengi huwa hawazingatii hilo na inaweza kua na reaction mbaya kwa mgonjwa ila kwa sababu ni makosa yao hawawezi kukwambia. Kikubwa muombe mungu mkuu yeye ndo muamuzi wa kila jambo.
Pole Sana mkuuWapendwa Mungu kampenda zaidi baba yangu
Mkuu hufuatilii post za juu? Mzee ameshatoweka DunianiHuenda walizidisha kipimo cha nusu kaputi ila naamini atapata fahamu tu kama dawa bado inafanya kazi.