Babati, Manyara: Mbaroni akituhumiwa kumuua aliyemfumania akizini na mkewe

Yes mkuu hii nzuri sana asee
 
Ana makosa.
Kidogo Sana. Angesikia akamtafuta na kumkata mapanga ingekuwa kesi tofauti, SASA kamkuta mgoni juu ya mkewe panga mkononi ulitaka achukue photoshoot? Wataalamu wanasema hiyo sio murder ni manslaughter.
 
Hahahahahaaaa dahhh!...
 
Kama ni kweli aliweka mtego, ana kesi iko hapo..... ukiweka mtego maana yake una dhamira, huyo mume alikuwa na "malicious aforethought". Hiyo ni murder.
Nani sasa hataisibitishia mahakama kuwa aliweka mtego wakumkamata mgoni wake
 
Mkuu kesi ipo! Atafungwa kwa kosa la kuua bila kukusudia ambayo adhabu yake ni kufungwa maisha! Na kama angeua kwa kukusudia hapo Kitanzi kingemhusu.
kuua bila kukusudia hukumu yake huwa haizidi miaka 7,kuua kwa kukusudia hukumu yake huwa ni kufungwa maisha au kunyongwa
 
Kama ni kweli aliweka mtego, ana kesi iko hapo..... ukiweka mtego maana yake una dhamira, huyo mume alikuwa na "malicious aforethought". Hiyo ni murder.
Ila bado ana uwezo wa kujitetea maana mke wa mtu saa kumi usiku haupo ndani na mume alimuacha ndani atakuwa ameenda wapi?
 
Michael Jackson wa kimbulu kapotea hivi hivi sababu ya kina delila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…