Babu Seya afunga ndoa na Katibu Tawala(DAS) wa Muheza

Babu Seya afunga ndoa na Katibu Tawala(DAS) wa Muheza

View attachment 1200956Mwanamuziki Mkongwe nchini almaarufu kwa jina la Nguza Viking aka Babu Seya amefunga ndoa takatifu leo jijini Dar na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Esterine Haule. Tunawatakia kila lakheri, afya njema na maisha marefu zaidi na Mungu akayabariki maisha yao mapya ya Ndoa. #harusi #ndoa #furahayapamoja
Hivi kwani makanisa ya bongo yange ruhusu ndoa za ndani ya nyumba naona watu wanajaaga tu ukumbini kwenye sherehe
 
View attachment 1200956Mwanamuziki Mkongwe nchini almaarufu kwa jina la Nguza Viking aka Babu Seya amefunga ndoa takatifu leo jijini Dar na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Esterine Haule. Tunawatakia kila lakheri, afya njema na maisha marefu zaidi na Mungu akayabariki maisha yao mapya ya Ndoa. #harusi #ndoa #furahayapamoja
Daaaaaaaa Salima Salima,Fanta wangu.
 
IMG-20190907-WA0009.jpg

IMG-20190907-WA0008.jpg

Mwanamuziki mkongwe aliyetolewa jela kwa Msamaha wa Rais , Nguza Vicking leo amefunga ndoa Takatifu katika kanisa katoliki Sinza jijini DSM na Bi Desderia Haule , ambaye ni DAS ( Katibu tawala ) wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga .
 
Inafurahisha sana.

Wanawake waaminifu kama hawa wamebaki wachache sana, kamsubiri hadi katoka gerezani.
 
Back
Top Bottom