Babu Seya afunga ndoa na Katibu Tawala(DAS) wa Muheza

Hivi kwani makanisa ya bongo yange ruhusu ndoa za ndani ya nyumba naona watu wanajaaga tu ukumbini kwenye sherehe
 
Sasa huyo bi harusi hilo shela usoni kwani yeye bikira au kigoli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani, kwa nini unadhani sio bikra?
 
Daaaaaaaa Salima Salima,Fanta wangu.
 




Mwanamuziki mkongwe aliyetolewa jela kwa Msamaha wa Rais , Nguza Vicking leo amefunga ndoa Takatifu katika kanisa katoliki Sinza jijini DSM na Bi Desderia Haule , ambaye ni DAS ( Katibu tawala ) wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga .
 
Inafurahisha sana.

Wanawake waaminifu kama hawa wamebaki wachache sana, kamsubiri hadi katoka gerezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…