Babu Seya afunga ndoa na Katibu Tawala(DAS) wa Muheza

Mama wa watoto wake alifariki?
 
yawezekana alipona, dawa siku hizi zipo nyingi sana
 
Huyo bibie ndo aliyekuwa akigombewa na kigogo miaka ile mpaka babu akafungwa?
 
Wish them all the best..




















Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
Tatizo la wamegi ni hilo hapo FUMILA MBULI YECHO MBONA NDODOGI "
*(Kubali jambo lenyewe mbona dogo)* Chakwale
 
Katika kesi yake alijitetea kuwa mnara hausomi signal,ila wanawake kweli wana roho ya paka.
 
NIMEWASHUSHA VYEO MABAHARIA WENZANGU WOTE MAANA WAMESHINDWA KUTUMIA FURSA HADI MZEE KATOKA UKONGA NA AKATUMIA FURSA..
 
Labda alikosa kijana wa kuendesha Gari akiwa kazini...... Wale vijana aliowasema Mkulu kwenye Ule mkutano na Watendaji wa Kata....!!
Haa
Mkuu Alisema Kuna Wanaume Wanatolewa Mahari
 
Inasemekana kakanyaga mafuta kwa Mwamposa kapona kabisaaaaaa!
 
Huyu alibaka vitoto vidogo! Wakati wa kesi alijitetea kuwa alikuwa HANISI, leo kaoa! Ina maana alikuwa anadanganya??? au atahitetea kuwa ametibiwa na akapona! Bakaji mkubwa
 
Kuna vitu vingine vinashangaza na kuleta maswali mengi..ila tuwatakie tu Ndoa yenye furaha
Kuna Mengi Yanaacha Midomo WaziπŸ˜†πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…