Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NGUZA, KOCHA KUSOTA: Wakili wa Babu Seya, Papii Kocha aomba ushahidi ufutwe, waachiwe. Serikali yapinga. Korti ya Rufaa haijafanya uamuzi leo, yawapiga kalenda.
Qualified Dr hawezi ku testify nonsense. Procedure ya ku detect mtu aliyebaka au kulawiti ni on the spot au immediately after tendo sio wiki kadhaa baadae unakuta marks kwa mhanga halafu useme eti ni fulani! What if hao walio lay charge ndio waliwabaka hao watoto na kisha kupeleka michubuko kama ushahidi na wala sio sperms au other smears kutoka kwa mtuhumiwa babu seya?! Lakini niungane na aliyejiuliza swali hapo mwanzo kwamba baba na wanae wanachangia kulawiti watoto chumba kimoja sehemu moja kwa wakati mmoja je hayo ni maadili ya kiafrika kweli? je kama lilikuwa agizo la mganga wao wa kienyeji labda,je walipofikia sasa si wangekuwa wameshamtaja ili aungane nao katika kutumikia adhabu? kwanini hawafanyi hivyo na badala yake wanahangaika kuachiwa huru?!Mkuu taarifa za uhakika ni kuwa hawa jamaa walifanya kweli hiyo issue ya kulawiti watoto, na picha za watoto walioathirika zipo kwenye fail za ushahidi, na qualified Dr ndo alifanya hiyo proof, hili tukio ni lakweli tuache siasa na ushabiki wa mitaani, kwa ushahidi uliopo katu hawatatoka unless otherwise
kwa kuwa kesi yao ilipikwa na magogoni na chama cha walimu. mwalimu aliyetoa ushahidi yuko kagera anakula maisha na katibu mkuu cwt sasa anapeta tume ya katiba. hii ndo Tanzania
haikuwa chama cha waalimu bali mwl wa mkuu wa shule ya Mapambano na baada ya hapo alikula bata la CWT na majuzi ndio nimeanza kumwona kwenye tume ya Katiba.
Nijuavyo mimi uongo waliosingiziwa watu hawa lazima laana yake iwatafune walioshiriki ima kwenye maamuzi, imma kwenye ushahidi, imma kwenye kushtaki.
Ngoma ni nzito kwa Babu Seya na papii baada ya kupitia mwenendo wa kesi yao kisutu chini ya hakimu Lyamuya.
1. Jamaa walikosa uwakilishi mzuri wa kisheria. Sioni kama H. Nyange aliwawakilisha ipasavyo wateja wake. Alikuwa akipangua hoja kirahisi kama mtu wa kawaida. Hakujua hakimu Lyamuya maamuzi yake uyafikia vipi.
Kuna njia 7 ivi mahakimu/majaji uzifuata ili kufikia uhamuzi wa kesi.
(a). Textual yani kufuata maneno kama sheria ilivyoandika ikiwa maneno haya utata.
(b). History of the law yani kuzingatia kiini kilichopelekea kutungwa sheria husika.
(c). Functional yani kuzingatia sheria zote zinazoendana na sheria mama.
(d). Doctrinal yani maamuzi yanaangalia na kesi zilizowahi kuamuliwa huko nyuma.
(e). Prudential yani kuzingatia zaidi maslahi ya wahusika (pande zote au mmoja) au jamii nzima mfano kesi kupinga matokeo ya urais hata kama kasoro zilijitokeza.
(f). Equitable/Ethical kufuata Usawa yani dhamila ya kweli kuona haki inatendeka kwa kila upande.
(g). Natural yani kufuata Asili au utamaduni mfano ndoa za jinsia mmoja kwa bongo hata kama kusingekuwepo sheria zuio hakimu atawatia hatiani kwani hatuna huo utamaduni.
2. Ukisoma hukumu ya Lyamuya aliresearch akatumia (c), (d) na (e). Advocate Nyange alitaka jamaa wachomoke kwa makosa ya kiufundi lakini hakimu alisimama kwenye (d) na (e) kwa kutoa kesi nyingi za zamani na ameangalia zaidi maslahi ya mtoto kwamba mbali na umri wao mdogo walionekana wakweli kuliko akina Seya. Kiukweli akina Seya walikosa credibility, hawakukumbuka mambo mengi hata yale kabla ya kukamatwa. Huyu anasema polisi walituvamia mwingine anasema wabisha hodi nikafungua.
Kama watoto wametiririka tena wakilia ukiweka (g) asili, hakimu aliamini mtoto akilia ni mkweli kabisa.
3. Advocate Nyange akuangaika kutafuta hata madaktari kupingana na waupande wa mashtaka. Anasema mteja wake ana matatizo ya kusimamisha yani erectile dysfunction (ED) kwamba yuko on and off. Hakimu katoa madesa na sheria kuonyesha kwamba inawezekana alisimamisha kidogo akaingiza, na kubaka si lazima uingize uume. Shahidi namba 9 mama yake alikuta shaawa lakini hazikupimwa DNA kujua za nani. Sijaona Nyange akilipinga hilo na kama aliliamsha bado hakimu angeendelea kuegemea kwenye (e) prudential kwa manufaa ya mtoto kwani tayari waliweza kuwatambua, walikuwa na majeraha ya kutanuka sehemu zao za siri mbele nyuma.
Nimalizie kwa kusema Nyange akuleta mashahidi wa kumchanganya hakimu na hakuwaandaa wateja wake kujitetea kizimbani.
MWISHO: mtizamo wangu ni kwamba kama wangeappeal kwamba waliwakilishwa vibaya na wakili wao, wamfukuze na kuweka mwingine wanaweza kupata nafasi lakini kwa kusema hukumu ya kwanza walipwaya mno na wakili pia alipwaya. Kwa njia nilizotaja hapo juu ilikuwa rahisi kwa hakimu Lyamuya kuwahukumu jamaa.
Qualified Dr hawezi ku testify nonsense. Procedure ya ku detect mtu aliyebaka au kulawiti ni on the spot au immediately after tendo sio wiki kadhaa baadae unakuta marks kwa mhanga halafu useme eti ni fulani! What if hao walio lay charge ndio waliwabaka hao watoto na kisha kupeleka michubuko kama ushahidi na wala sio sperms au other smears kutoka kwa mtuhumiwa babu seya?! Lakini niungane na aliyejiuliza swali hapo mwanzo kwamba baba na wanae wanachangia kulawiti watoto chumba kimoja sehemu moja kwa wakati mmoja je hayo ni maadili ya kiafrika kweli? je kama lilikuwa agizo la mganga wao wa kienyeji labda,je walipofikia sasa si wangekuwa wameshamtaja ili aungane nao katika kutumikia adhabu? kwanini hawafanyi hivyo na badala yake wanahangaika kuachiwa huru?!
Ninivyofahamu Dsm kuna kundi kubwa la wanawake wapenzi sana wa wanamziki wa bendi yaani ni waumini haswa wa wanamziki ndio maana kuna wanamziki baadhi wanalelewa kwa kupewa kila hitaji na wanawake fulani fulani hapa mjini, kwa babu seya na wanawe hawawezi kukosa bahati hiyo kiasi kwamba tusema ukame na udomo zege ndio uliwafanya kuparamia vitoto hivyo vilivyokuwa vinahongwa pipi na shilingi mia mbili kwa mujibu wa waendesha mashitaka na mashahidi wao.
Tunaweza kuchambua mengi sana ya kuonesha ujinga wa waliokuwa wanaendesha kesi hii bila kujua kuwa watanzania wana upeo wa kuchambua mambo na kuujua ukweli! ( Kwa taarifa tu Wakili yeyote ni Court Official ) yuko pale kuhakikisha haki inatendeka na sio kupendelea hata kama ni mteja wake. Haujiulizi kwanini mpaka leo wakili wa babu seya bado anapambana kumtoa jela??
Mkuu taarifa za uhakika ni kuwa hawa jamaa walifanya kweli hiyo issue ya kulawiti watoto, na picha za watoto walioathirika zipo kwenye fail za ushahidi, na qualified Dr ndo alifanya hiyo proof, hili tukio ni lakweli tuache siasa na ushabiki wa mitaani, kwa ushahidi uliopo katu hawatatoka unless otherwise
haikuwa chama cha waalimu bali mwl wa mkuu wa shule ya Mapambano na baada ya hapo alikula bata la CWT na majuzi ndio nimeanza kumwona kwenye tume ya Katiba.
Nijuavyo mimi uongo waliosingiziwa watu hawa lazima laana yake iwatafune walioshiriki ima kwenye maamuzi, imma kwenye ushahidi, imma kwenye kushtaki.
watoto zaidi ya sita wengi wao wakiwa chini ya miaka 7 , karibu wote wanaogeshwa, wanafuliwa, kweli isigundulike walibakwa wote , hadi walipoanza kutoka usaha, yaani watoto wote hawakuumia, hawakutoka damu on the spot. mtu mzima akiingiliwa bila ridhaa yake anaumia, inawezekanaje mtoto wa miaka chini ya saba asichechemeee !? mbona matukio yote yakubakwa watoto issue hustukiwa soon na wazazi ?
Tanzania mabush lawyer ni wengi sana
Mfuate jela ukampe 0713