barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,880
Hata Bushoke aluvyooimba ule wimbo wa kumkumbuka Papii Kocha,aliitwa Bushoke akaulizwa unataka nini..toa wimbo redioni...akaanza oooh mzee nimetumia hela nyingi kurekodi,mara ndio ntapigia show unitoe mana umehit sana
Jamaa Bushoke akapewa mkwanja.wa hatari akajumlishwa kwenye kampeni ya 2005 kuzunguka nchi nzima...kimyaaaa,na wimbo haujapigwa tena..
ilikuwa jmos fulani,siku ya visitors..nilikwenda kumcheki msela jela na mAzagazaga kibao.... amenipa kweli juu ya kesi yake,watu wanaimiliki kesi yake..msela kanambia yeye hakukosa,msela anasema ushahdi haukutosha..Rais mtoe P watu wanampenda P
Japo ataanza maisha upya tumuombee atatoka...
Hii ni sehemu ya mashairi ya wimbo.wa Bushoke unaitwa msela jela...aliutoa kama dedication kwa Papiii...lakini aliutoa usipigwe radion akala dili la kuzunguka na kampeni za CCM nchi nzima.