Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
wasubiri 2015?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wasubiri 2015?
Sina hakika kama wameshatolewa .... Hukumu ilianza kupitiwa upya mida ya asubuhi!....
Mimi binafsi nawaombea Mungu watoke, wameteseka vya kutosha jamani! Eeh Mungu watendee miujiza waja wako hawa.... Papii kocha na nguza viking Amen!
...nimeona wanapandishwa gari la magereza, kuridi ukonga..., walipigishwa kwata toka m.ya rufaa hadi mahaka kuu.
...nimeona wanapandishwa gari la magereza, kurudi Ukonga..., walipigishwa kwata toka M.ya rufaa hadi Mahaka Kuu.
Kwa kweli mimi binafsi namuombe atoke gerezani Mungu aibariki familia hii.
kwanini nguza na sio wengineo.
kwa kuwa kesi yao ilipikwa na magogoni na chama cha walimu. mwalimu aliyetoa ushahidi yuko kagera anakula maisha na katibu mkuu cwt sasa anapeta tume ya katiba. hii ndo Tanzania
Nani aliwapiga picha?na picha zilipigwa wakati wakilawiti watoto hao au ni sura za watoto.haiingii akilini baba analawiti hapa na watoto woote wanalawiti pale na pale.Mkuu taarifa za uhakika ni kuwa hawa jamaa walifanya kweli hiyo issue ya kulawiti watoto, na picha za watoto walioathirika zipo kwenye fail za ushahidi, na qualified Dr ndo alifanya hiyo proof, hili tukio ni lakweli tuache siasa na ushabiki wa mitaani, kwa ushahidi uliopo katu hawatatoka unless otherwise
kwa kuwa kesi yao ilipikwa na magogoni na chama cha walimu. mwalimu aliyetoa ushahidi yuko kagera anakula maisha na katibu mkuu cwt sasa anapeta tume ya katiba. hii ndo Tanzania