Babu Seya/Papii Nguza kweli walibaka? Tukielekea kureview kesi yao oct 30

Babu Seya/Papii Nguza kweli walibaka? Tukielekea kureview kesi yao oct 30

Sina hakika kama wameshatolewa .... Hukumu ilianza kupitiwa upya mida ya asubuhi!....

Mimi binafsi nawaombea Mungu watoke, wameteseka vya kutosha jamani! Eeh Mungu watendee miujiza waja wako hawa.... Papii kocha na nguza viking Amen!

...Na iwe hivyo mkuu.
 
...nimeona wanapandishwa gari la magereza, kurudi Ukonga..., walipigishwa kwata toka M.ya rufaa hadi Mahaka Kuu.
 
KESI YA BABU SEYA: Majaji Korti ya Rufaa wameanza kupitia upya hukumu ya kifungo cha maisha dhidi ya mwanamuziki Nguza Viking na mwanae Papii Kocha hivi punde.
 
NGUZA, KOCHA KUSOTA: Wakili wa Babu Seya, Papii Kocha aomba ushahidi ufutwe, waachiwe. Serikali yapinga. Korti ya Rufaa haijafanya uamuzi leo, yawapiga kalenda.
 
ila duniani kuna mambo ya kufurahisha na kuhuzunisha hawajamaaaaaaaaa nawaoneo huruma mungu jaalia watoke kifungoni Kocha
 
kwa kuwa kesi yao ilipikwa na magogoni na chama cha walimu. mwalimu aliyetoa ushahidi yuko kagera anakula maisha na katibu mkuu cwt sasa anapeta tume ya katiba. hii ndo Tanzania

Mkuu taarifa za uhakika ni kuwa hawa jamaa walifanya kweli hiyo issue ya kulawiti watoto, na picha za watoto walioathirika zipo kwenye fail za ushahidi, na qualified Dr ndo alifanya hiyo proof, hili tukio ni lakweli tuache siasa na ushabiki wa mitaani, kwa ushahidi uliopo katu hawatatoka unless otherwise
 
Nani aliwapiga picha?na picha zilipigwa wakati wakilawiti watoto hao au ni sura za watoto.haiingii akilini baba analawiti hapa na watoto woote wanalawiti pale na pale.
hii kesi ni mungu tu anajua
 
kina amatus lyumba watu walioitia nchi hii hasara hadi kuyumbisha uchumi wamefungwa miaka miwili leo hii wako mtaan wanakula raha kina babu seya wanafungwa maisha...... haki iko wapi!!
 
kwa kuwa kesi yao ilipikwa na magogoni na chama cha walimu. mwalimu aliyetoa ushahidi yuko kagera anakula maisha na katibu mkuu cwt sasa anapeta tume ya katiba. hii ndo Tanzania

Duuh hii hatare PAPUCHI HII CJUI INA NN
 
Back
Top Bottom