Babu Seya/Papii Nguza kweli walibaka? Tukielekea kureview kesi yao oct 30

Hii kesi ilishaisha ila sema kuna watu hao kila siku wako against serikali . Yaani wana chuki na huu utawala wako tayari kutunga chochote mradi waingize sifa mbaya as walivyosema nchi haitatawalika. So hii sio kesi watu wanataka kuitumia kisiasa baadae wapindishe sheria ili wabakaji watoke na wao wapate sifa na chama chao. Hivi mtu anaposema eti subiri 2015 chadema ikiingia madarakani kina Seya watatoka . Ina maana Chadema ina support wabakaji. Na je kuna wabakaji wangapi magerezani...... Kuna watu wanafananisha kesi ya Liumba na Babu seya. Liumba alitumia madaraka vibaya. Na Babu seya kesi yake ni Kubaka watoto wadogo au malaika wasiojua kitu. Hivi leo akiachiwa na hao ndugu wa wale watoto waliobakwa wakimuua mtasemaje.
 
Tanzania mabush lawyer ni wengi sana

Naona imesikilizwa kesi yao na utakuwa umekubaliana na mimi kubadili wakili ndo ilikuwa njia bora.

Marando ndo anawatetea badala ya Nyange. Kesi yao mwanzoni Nyange alipwaya mno na akina babu seya walikuwa wapowapo tu hawakuandaliwa kwa high profile kama ile
 
Naona imesikilizwa kesi
yao na utakuwa umekubaliana na mimi kubadili wakili ndo ilikuwa njia
bora.

Marando ndo anawatetea badala ya Nyange. Kesi yao mwanzoni Nyange
alipwaya mno na akina babu seya walikuwa wapowapo tu hawakuandaliwa kwa
high profile kama ile

mbona Marando alikuwa siku nyingi sana kwenye hii kesi, tangu 2010 yumo kwenye hii kesi
 
Marando kaanzia kwenye appeal hiyo hiyo 2010 baada ya hukumu ya Lyamuya. We sema tukutumie hukumu usome. Marando ndo alikuja fanya madogo waachiwe na kubaki babu seya na papii.

Hii kesi wangechomoka pengine kama Marando angeanza nayo kwani nimeona jana alipangua hoja vizuri. Ila usisahau jinsi mahakimu/majaji wanavyohamua kesi mbali na ushahidi kuna hizo njia 7 nilizieleza.

Mfano Marekani Rais kumteua jaji wa mahakama ya juu yani supreme court anaangalia mwenye kufuata itikadi yake kama ni conservative au liberal. Fatilia hiyo ujiridhishe
 
nimekupata
 
Unaweza kuta huyo mwanamke yuko na mtu mwingine sasa ,dah so sad
 
Ni chain ya wahusika wengi wakiwamo madaktari walopima "uongo" na hakimu/ jaji alohukumu "kwa kushinikizwa".

Kubwa ni ugomvi wake na "mukuru" walipogombea mwanamke, jamaa alipoona anazidiwa kete akaamua kuiteketeza familia nzima!!!!!!

Hakuna ubakaji wala nini hapo. Tafuta hao watoto uone kama kweli walibakwa!!!!!!!
nasikia walibaka walikuwa wanatengeneza movie wanauza nje!
 
watu hawakuelewi humu! Ukiwaambia walete ushahidi kuonesha watoto hawakubakwa hutopata. Tunaongozwa na hisia tu.kama mna ushahd usio na shaka tupeni tuamini
 
mi sijui bwana ila ninaamini walibaka !ushahidi si upo mahakamani? watengue huo ushahidi then
 
EMT
Hivi hao watoto walikuwa na wazazi? Kama walikuwa na wazazi, hao wazazi hawaku-note kitu chochote kuhusiana na kubwa kwa hao watoto? Hivi hao watoto wana umri gani kwa sasa?

SWALI hilo hata wakili Marando alilihoji walipokuwa court of appeal, alisema katika umri wake hajawahi kushuhudia mtu mzima akamuingilia mtoto mdogo wa chini ya miaka 6 , na mtoto huyo akatembea, mpaka siku alipooanza kunuka kutokana na kuoza majeraha ndipo mzazi agundue, angalia pia idadi watoto zaidi ya 8 , maana wazazi nane, watoto wanaogeshwa na kufuliwa nguo , kweli mzazi hata mmoja wao asingenotice mapema damu na michubuko >? je walikuwa wanatembeaje ? je walikua hawachechemei ?, watoto wale kwa mujibu wa records inaonyesha walitendewa unyama ule wakiwa kati ya miaka 5 hadi 8, na wengi wao walikua below 6
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa hawakubaka ila mmoja wao alikuwa anakula mke wa mzee mkubwa akanogewa hadi akamuimbia mwimbo jamaa akakasirika
 
EMT

SWALI hilo hata wakili Marando alilihoji walipokuwa court of appeal, alisema katika umri wake hajawahi kushuhudia mtu mzima akamuingilia mtoto mdogo wa chini ya miaka 6 , na mtoto huyo akatembea, mpaka siku alipooanza kunuka kutokana na kuoza majeraha ndipo mzazi agundue, angalia pia idadi watoto zaidi ya 8 , maana wazazi nane, watoto wanaogeshwa na kufuliwa nguo , kweli mzazi hata mmoja wao asingenotice mapema damu na michubuko >? je walikuwa wanatembeaje ? je walikua hawachechemei ?, watoto wale kwa mujibu wa records inaonyesha walitendewa unyama ule wakiwa kati ya miaka 5 hadi 8, na wengi wao walikua below 6

Marando alihoji bila kuleta uzibitisho. Na hakimu alisema kubakwa si mpaka kuingiliwa ndani kabisa. Lakini hoja ya msingi watoto wadogo wanabakwa sana sasa swala la wazazi wangeona siku hiyo ni swala lisilo na uzito kisheria hata sayansi. Msifuate maneno ya mtaani someni hukumu, dadisi pale panapoitaji udadisi
 
Last edited by a moderator:
Hii kesi ilishaisha ila sema kuna watu hao kila siku wako against serikali . Yaani wana chuki na huu utawala wako tayari kutunga chochote mradi waingize sifa mbaya as walivyosema nchi haitatawalika. So hii sio kesi watu wanataka kuitumia kisiasa baadae wapindishe sheria ili wabakaji watoke na wao wapate sifa na chama chao. Hivi mtu anaposema eti subiri 2015 chadema ikiingia madarakani kina Seya watatoka . Ina maana Chadema ina support wabakaji. Na je kuna wabakaji wangapi magerezani...... Kuna watu wanafananisha kesi ya Liumba na Babu seya. Liumba alitumia madaraka vibaya. Na Babu seya kesi yake ni Kubaka watoto wadogo au malaika wasiojua kitu. Hivi leo akiachiwa na hao ndugu wa wale watoto waliobakwa wakimuua mtasemaje.

Kama jina lilivyo..... Vampire
 
Marando alihoji bila kuleta uzibitisho. Na hakimu alisema kubakwa si mpaka kuingiliwa ndani kabisa. Lakini hoja ya msingi watoto wadogo wanabakwa sana sasa swala la wazazi wangeona siku hiyo ni swala lisilo na uzito kisheria hata sayansi. Msifuate maneno ya mtaani someni hukumu, dadisi pale panapoitaji udadisi

Mshombsy tafadhali kama un copy ya hukumu yao naomba utuwekee.

Lakini maswali ya marando bado ni ya msingi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom